DINHO
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 880
- 1,750
Kesi ya Msuva na hii ya Fiesal kwa akili yako zinafanana??Msuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesi ya Msuva na hii ya Fiesal kwa akili yako zinafanana??Msuva hakukaa kuzungumza na Raja, alitimka na akashinda kesi
Simba hawakulifumbia macho, usipotoshe watu.View attachment 2539186
Issue ya Dejan wala haikufika Karume wala CAS, iliishia gram wakamalizana. Ila hawa waswahili sasa, kila siku kutupigia kelele, hela yenyewe haizidi 150m.
Si unaona nimeuliza tu maana mpaka mtu analalamika ina maana hakuwa anategemea hilo.Kwani kwenye huo mkataba kuna sehemu walikataza fei asile ugali na sukari?
Duh Dejan kuna vitu hakutimiziwa, vya kimkataba.View attachment 2539186
Issue ya Dejan wala haikufika Karume wala CAS, iliishia gram wakamalizana. Ila hawa waswahili sasa, kila siku kutupigia kelele, hela yenyewe haizidi 150m.
Mbona kama una hasira. Yanga wanakuwaje waonezi kwa mchezaji waliye mlea kwa miaka chungu nzima! Mchezaji ambaye alikuja akiwa underground, na leo amekuwa star kiasi cha kutamaniwa na kila timu ya ligi kuu ndani ya nchi?So what?
Yanga ni waonezi tu, TFF ni makanjanja tu, mwacheni dogo aitafute haki yake hadi uajemi
Mkataba hauwezi kuvunjwa kwa matakwa ya Yanga.Kama anahitaji Kuvunja mkataba na Yanga ni ishu rahisi wala haitaji kwenda TFF. Timu yake ya ushauri ilitakiwa iende kuonana na uongozi wa Yanga Moja Kwa Moja. Maana hapo Sasa mnaongelea maslahi ya pande zote mbili.
TFF watakachomwambia arudi akaongee na uongozi wake kuhusu Kuvunja mkataba na ndicho Yanga walichokihitaji. Ila Sasa ni wazi Feisal hana watu sahihi wa kumuongoza au ushauri wa kitaalamu anaopewa haridhiki nao anataka vile yeye anavyo ona inafaa.
Sawaa ila kilichofuata ni nini? Pande zote mbili zililimaliza na maisha yakaendelea. Hilo ndilo post ile inauliza, kinachozuia pande hizi mbili kulimaliza suala lao ni nini?Simba hawakulifumbia macho, usipotoshe watu.View attachment 2539203
Usitegemee jibu la maana hapo. Sababu Hata hizo akili zenyewe hana.Kesi ya Msuva na hii ya Fiesal kwa akili yako zinafanana??
si ndio walichukua hatua stahiki wakaachana na Dejan?Simba hawakulifumbia macho, usipotoshe watu.
Hili ndio lilikuwa limebaki, kuna watu wanaona kijana hajui anachofanya mimi naona yuko sawa, kaanza na hatua ya kutingisha timu ya yanga kama wanamuweza ameona ngoma ngumu sasa anataka kuvunja aondokeFeisal Salum “Feitoto” atinga tena TFF akiwa na aliyemsaidia Saimon Msuva kushinda kesi CAS. Mara hii amewasilisha barua ya maombi kwa TFF akitaka kuvunja mkataba wake na klabu yake ya YANGA
View attachment 2539157
Iliyobaki ni kumlazimisha Feisal acheze. Yaani anapangwa kwenye kikosi dhidi ya TP Mazembe, na analazimishwa apige shuti goli liingie. Atake atapiga shuti, asitake atapiga shutiUsitegemee jibu la maana hapo. Sababu Hata hizo akili zenyewe hana.
Atoboe nini.. kasha boronga.. kiburu kitamponza.. arudi kwa boss wake wakae chini.. wayamalize hata kama wanavunja wavunje kistaraabu apate na barakaAtatoboa?
Nani amekwambia Fei anauzwa Billion? au magezeti ya udaku unayosoma kutwa ndio yanakufanya ujione unazijua sana za ndani.Mkataba hauwezi kuvunjwa kwa matakwa ya Yanga.
Utavunjwa kulingana na thamani halisi ya mkataba.
Nani atahakikisha mkataba unavunjwa ipasavyo kama sio TFF?
Ulikuwa unamlipa million nne, afu uje uwaambie watu mchezaji anauzwa Billion?
Anatafuta huruma ya uongoAliyekuwa anakula ugali kwa sukari anaweza kweli kumlipa wakili?
Kuvunja mkataba sio rahisi kama unavyodhani.Hili ndio lilikuwa limebaki, kuna watu wanaona kijana hajui anachofanya mimi naona yuko sawa, kaanza na hatua ya kutingisha timu ya yanga kama wanamuweza ameona ngoma ngumu sasa anataka kuvunja aondoke
Ndio furaha yenu sana.Muda wa kumuacha huyu kijana ndo sasa....zile hela wachukue..
Kwa ilivyofikia hawezi kurudi akawa na amani..
amekopa akiwa na uhakika zitarudi na atalipa. Kukopa akiwa anachezea Yanga hakuwa na uhakika wa kulipa, ndo akaamua tu ale ugali na sukariAliyekuwa anakula ugali kwa sukari anaweza kweli kumlipa wakili?