Soma NUKUU ya Mr Jbst hii hapa [emoji116]
"Hakuna mktaba wowte usio na option ya kuuvunja, hakuna.mkataba wowte wa mpira lazima uwe na option ya kuuvunja.
Sasa hapo kwenye kuuvunja ndo kuna vipengele vingine sasa ili uvunjike, mfano sheria za fifa zinakataza mchezaji kuvunja mkataba ligi ikiwa inaendelea bila makubaliano ya pande mbili (fei na yanga)
Kimgine ili uvunje mkataba lazima muajiri awe amekiuka vifungu ktk mkataba wenu mfano, team isipokulipa mshahara wa miez 3 mfululizo inakua imevunja mkataba na mchezaji moja kwa moja kama suala la msuva ndomana alishinda bila hata kuzungumza na wydad kwasababu wydad walikua wameshakiuka vipengele ktk mkataba.
Kingine mfano mchezaji hapewi nafasi ya kucheza ktk mechi 10 mfululio hapo team inakua imekiuka masharti ya mkataba kama kulikua na kipengele hicho kwahyo mchezaji anaweza kuondoka na akasema mkataba umevunjika.
Sasa swali nakuuliza ktk yote hayo yanga ilikiuka kipengele kipi ili fei apate uhalali wa kuvunja mkataba? Jibu ni hakuna
Kwahyo Feisal njia aliyotumia sio sahihi, aitakiwa kwenda kuongea na yanga wakubaliane au team inayomtaka iende pale ikamnunue."
USIPOELEWA HAPO PIA BASI UMESHINDA.