Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

Kwani adhabu haiwezi kutolewa akiwa hayupo eneo la mjadala?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kwamba watu wote wanaomzunguka hawawezi mshauri
 
Na sio kuboreshewa tu bali angekuwa ameongeza dhamani yake, lakini pia angeweza kuvunja mkataba kwa kufanya mashauriano na timu yake ili wakae mezani aondoke kwa heshima, tatizo lake alitumia wahuni wakina jemedari.
 
BASI UONGOZI WA YANGA WALIKUWA WAPUMBAVU KUMPA UNAODHA MPUMBAVU.

Muite

kweli kwa ANDIKO lako nasadiki kusema KWELI yanga WENYE AKILI NI WAWILI TU.

Manahodha yanga.

1.mwamnyeto.
2. FEISAL SALUM.
3. Dickson Job.
Sijui unaongea nini akili za Makolo bana, kwa akili ya kawaida huoni kubwa fei ametuhumiwa?
 
Yoyote anayemtetea Fei ni ama hajui masuala ya mikataba na sheria au anajitoa ufahamu kwa ushabiki.
Mimi ni Simba lakini itoshe kusema dogo ama ni mjingamjinga au kuna wapuuzi hawana dhamira naye njema wanampotosha kwa maslahi yao.
 
Ukikataliwa nyongeza unavyunja mkataba? ulisomea wapi wewe?
Mkataba unavunjwa kama party moja haitaki kuendelea ndo inaanzisha mutual agreement...

Katika kuvunjwa kwa mkataba lazima sehemu moja ndo inakuwa haijaridhia na ndo inaanza kudai ..Either yanga wangetaka wangemuambia labda kiwango chake hakiridhishi na yeye kaamua kuvunja kwa vile alipofika kiwango kipo juu na mshahara anataka wa juu.

Ulijua mkataba watu wanavunja vip? wakati upande mmoja ndo unaanzisha madai na kushirikisha upande wa pili madai yake.πŸ˜…πŸ˜….

Clubs kubwa zinavunja mkataba kama mtu kiwango kimeshusha hata kama ana miaka 2 mbele na wanamshirikisha kwamba kiwango chako ni dhaifu naye anakubali.


Nyie mnakaza kichw kwa akili kwamba ataenda Simba au Azam basi hapo roho zenu hazitaki ila jambo lipo wazi kabisa..

Lazima pawe na mdai ndo akubaliane na upande wa pili.πŸ˜…πŸ˜…
 
Ameambiwa atumie njia sahihi ili kuuvunja mkataba, yeye anataka kuruka fensi ili ajiondokee kinyemela. So???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…