Feisal Salum kakosa Elimu na Akili

BASI UONGOZI WA YANGA WALIKUWA WAPUMBAVU KUMPA UNAODHA MPUMBAVU.

Muite

kweli kwa ANDIKO lako nasadiki kusema KWELI yanga WENYE AKILI NI WAWILI TU.

Manahodha yanga.

1.mwamnyeto.
2. FEISAL SALUM.
3. Dickson Job.
 
Haki yake gani iyo anayoipigania? Na ni timu gani inayomshikilia maana Feitoto hayuko kambini Yanga miezi sita sasa
 
Unaamini Mtu aliepeleka milioni 115 kuvunja mkataba anakosa millioni 57 ?

Unaamini atashindwa vipi endapo atashinda?
Ukiishughulisha kidogo tu akili utagundua nani yuko nyuma ya hii drama, tuliosoma Cuba tunaelewa. Alienda trip Dubai na private trainers leo aje alie michango kwenye media, tufikiri nje ya sanduku bandugu tunaelewa.
 
Tatizo ni kukosa Akili ya kujua kuwa waliomshauri walikuwa na jambo lao lingine . Kimsingi ni baadhi ya wa Nazi wa Simba waliotaka kuiletea Yanga Frustration ili isisonge mbele na bahati nzuri wamepata aibu kubwa sana Makolo na Feisal
Shukrani za ziada ziende kwa Azam fc waliomuacha Mudathiri Yahaya.
 
Wataomchangia hizo pesa nao hamnazo. Ila acha aende CAS, aangukie pua ndio arudi chini kujipanga na upya.

Namuonea huruma kwani atavyoshindwa case CAS, itambidi alipe gharama Yanga atazotumia kwenye case.
Kule hakuna mwigulu wa kutoa maelekezo
 
Mchezaji anataka kuvunja mkataba, wewe unampa machaguo ambayo hayana takwa lake la kuvunja, mlikua wapi kubolesha hayo maslai? Hersi aache umbumbu wa kumngangania mchezaji asiyewataka
 
Haki yake gani iyo anayoipigania? Na ni timu gani inayomshikilia maana Feitoto hayuko kambini Yanga miezi sita sasa
jifanya hamnazo hujui kinachoendelea..Mtu hataki si baki mbona shobo nyingi?
 
Haki gani anayo pambania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…