Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Atavuna alichopanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo sisi tuliouza hekta 25m kwa bilionea mmarekani hazitutoshi au tulipowapa waarabu loliondo bure na sasa tunawaondoa wamasai wote huko tumedata au?Hakika elimu ni ukombozi wa maisha. Ukiwa umeelimika inakuwa sio rahisi mtu kukushikia akili, ukiwa na elimu sio rahisi kuendeshwa kama gari bovu, ukiwa na elimu sio rahisi kutumiwa kwa maslahi ya mtu bila wewe kujua.
Hata hivyo:
Unaweza kukosa Elimu ya kutosha lakini ukajaaliwa kuwa na Akili kubwa kuliko hata ya mwenye Elimu ,mfano mzuri ni kwa mchaga, mkinga na mpemba aliyeishia la nne ana akili kubwa ya biashara kuliko professor wa UDSM.
Na ndio maana wapo walioishia std 7 lakini wana akili kubwa sana na sio rahisi kushikiwa akili, sio rahisi kudanganywa, sio rahisi kuendeshwa.
Feisal yeye amekosa vyote, AKILI na ELIMU, ameshikiwa tu akili kwa maslahi ya hao waliomshikia akili. Nadhani angekuwa anacheza soka Ulaya angekuwa kama yule mchezaji nadhani anaitwa Eboue aliyefilisiwa mali na Mke. Eboue alikosa akili ya kujua dhamira ya ndani ya mke anayemuoa. Lakini tunashuhudia akili kubwa ya Hakhim jinsi alivyompiga chenga mke tapeli.
Kukosa Elimu ni bora kuliko Kukosa AKILI
Tatizo ni kukosa Akili ya kujua kuwa waliomshauri walikuwa na jambo lao lingine . Kimsingi ni baadhi ya wa Nazi wa Simba waliotaka kuiletea Yanga Frustration ili isisonge mbele na bahati nzuri wamepata aibu kubwa sana Makolo na FeisalDogo ana kipaji cha kucheza mpira! Halafu amenyimwa akili ya kuchanganua mambo. Kweli inasikitisha na kuhuzunisha sana.
Yaani mkataba ulikuwa unaisha mwakani tu 2024, na hivyo angeweza kuondoka kama free agent! Alikuwa ana uwezo wa kukaa mezani na timu yake, ili kuboreshewa mkataba wake! Ila ndiyo hivyo tena. Ameamua kuchagua njia ya mkato.
Tayari ameshavuna AIBU maana amekaa nje na Yanga imefika FainaliAtavuna alichopanda
Wewe mbali ya kukosa Elimu na Akili lakini pia una sifa ya UmbumbumbuHuu tu mfano ulioutoa unaonyesha heri Feisal kuliko wewe
Huyu Feisol ni mkurugenzi wa nini?
Haki gani? na Ipi anayodai Feisal....Kwahiyo mtu kudai haki yake ni kukosa akili ???
MchambawimaHuyu Feisol ni mkurugenzi wa nini?
Ingekuwa rahisi Fei kusema Yanga wanataka m500 za kunifanya niwe Fei mnayemuona naombeni mnichangie sitaki tena kucheza pale. Ila Yanga wanataka pesa kweli?Dogo ana kipaji cha kucheza mpira! Halafu amenyimwa akili ya kuchanganua mambo. Kweli inasikitisha na kuhuzunisha sana.
Yaani mkataba ulikuwa unaisha mwakani tu 2024, na hivyo angeweza kuondoka kama free agent! Alikuwa ana uwezo wa kukaa mezani na timu yake, ili kuboreshewa mkataba wake! Ila ndiyo hivyo tena. Ameamua kuchagua njia ya mkato.
Ana mamaHivi dogo hana ndugu wenye hekima wa kumshauri.
Kesi yake ipo wide open. Kama alivyoshinndwa TFF anaenda shindwa CAF.Unaamini Mtu aliepeleka milioni 115 kuvunja mkataba anakosa millioni 57 ?
Unaamini atashindwa vipi endapo atashinda?
Sawa tusubiri ,muda ni mwalimu mzuriKesi yake ipo wide open. Kama alivyoshinndwa TFF anaenda shindwa CAF.
kabisaSawa tusubiri ,muda ni mwalimu mzuri
HakikaTayari ameshavuna AIBU maana amekaa nje na Yanga imefika Fainali