Feisal Salum, za kuambiwa changanya na zako. Muda ni wakili mzuri sana

Feisal Salum, za kuambiwa changanya na zako. Muda ni wakili mzuri sana

Mnalia lia Feisal Feisal, tumechoka na nyuzi zake [emoji1787][emoji23][emoji1787] Yaani mnashinda mechi badala ya kufikiria ushindi wenu mnakuja na nyuzi za Feisal. Alikuwa anawapa nini huko Kimbiji mtoto wa kizenji?

Mbona hao wengine akiwemo Mayele hakuna anayetaka kumnunua?
Umechoka wewe na nani?
 
Maamuzi aliyoyafanya feisal december mda ndo unatuonyesha yalikua yakijinga sana
  • Feisal ni kweli analipwa mshahara mdogo ila ni ukweli uliowazi ukitaka kuondoka kihuni vile ni timu chache zinaweza kama angekua ni mtu anayeona mbali angelinda kiwango chake na kukiongeza ili hata mkataba wake ukiisha mwakan anauhakika wa kusign mkataba mnono kulikua hakuna haja ya papara
  • Hakuna watu wabaya kama washauri hasa ukiwa kwenye mafanikio- aliyemshauri feisal ni mtu mbaya sana na anatakiwa akemewe kuna mda unaweza jiuliza sisi watanzania tuna gundu nin sababu haiwezekani unaenda hatua muhimu anatokea mtu anakushauri ujinga vile, aliyemshauri feisal ni mtu ambaye ana upeo mdogo na mbinafsi kupindukia
  • Yanga hajafuzu nusu fainal ila mpaka sasa hivi ananafasi kubwa sana kwa matokeo aliyoyapata kule nigeria ila ukiangalia feisal hayupo hii ndo ilikua nafasi yake ya yeye kuonekana lakin hayupo inaumiza sana, watu wanaituhumu Yanga lakin swali la kujiuliza leo Yanga akikubali kirahisi kumwachia feisal eti sababu haipendi Yanga, kuwa na uhakika kesho kutwa atatokea mchezaj mwingine atatumia mbinu zile zile za feisal
Kwenye maisha unapopewa ushauri na watu kuwa makin sana juu ya huo ushauri hasa ukitake-into consideration future yako "za kuambiwa changanya na za kwako"
Katika maisha, tunatakiwa kuwa wavumilivu, na pia watu wa kuheshimu mikataba tunayoingia, ili kuepusha migogoro isiyo navulqzima wowote ule.

Huyu dogo amezingua sana. Ingawa kuna watu wanaamini alikuwa sahihi. Ila kiukweli ametumia njia ya kihuni. Ingekuwa mikataba inavunjwa kirahisi hivi, basi timu nyingi duniani zingekosa wachezaji wazuri.
 
Pesa
Pesa
Pesa ndio wakili mzuri kuliko wooote
 
Dogo anakipaji angekuwepo saiv mngetoboa champion league na sio hilo kombe la upinde .....
Nadhani wewe hufatilii mpira halafu umekuja lu coment kwenye uzi wa watu wa mpira

Punguza aibu ndogo ndogo futa hii
 
Maamuzi aliyoyafanya feisal december muda ndo unatuonyesha yalikua yakijinga sana
  • Feisal ni kweli analipwa mshahara mdogo ila ni ukweli uliowazi ukitaka kuondoka kihuni vile ni timu chache zinaweza kama angekua ni mtu anayeona mbali angelinda kiwango chake na kukiongeza ili hata mkataba wake ukiisha mwakan anauhakika wa kusign mkataba mnono kulikua hakuna haja ya papara
  • Hakuna watu wabaya kama washauri hasa ukiwa kwenye mafanikio- aliyemshauri feisal ni mtu mbaya sana na anatakiwa akemewe kuna muda unaweza jiuliza sisi watanzania tuna gundu nin sababu haiwezekani unaenda hatua muhimu anatokea mtu anakushauri ujinga vile, aliyemshauri feisal ni mtu ambaye ana upeo mdogo na mbinafsi kupindukia
  • Yanga hajafuzu nusu fainal ila mpaka sasa hivi ananafasi kubwa sana kwa matokeo aliyoyapata kule Nigeria ila ukiangalia feisal hayupo hii ndo ilikua nafasi yake ya yeye kuonekana lakin hayupo inaumiza sana, watu wanaituhumu Yanga lakini swali la kujiuliza leo Yanga akikubali kirahisi kumwachia feisal eti sababu haipendi Yanga, kuwa na uhakika kesho kutwa atatokea mchezaj mwingine atatumia mbinu zile zile za Feisal
Kwenye maisha unapopewa ushauri na watu kuwa makin sana juu ya huo ushauri hasa ukitake-into consideration future yako "za kuambiwa changanya na za kwako"
bwan mdogo mpumbavxtra
 
Kila mtu ana maamuzi yake binafsi by the way humlishi wewe
Mwakani utamwona msimbazi
 
Umekomenti kijinga Tena. Una uhakika hawatakiwi? Umejaa usimba tu!
Mnalia lia Feisal Feisal, tumechoka na nyuzi zake 🤣😂🤣 Yaani mnashinda mechi badala ya kufikiria ushindi wenu mnakuja na nyuzi za Feisal. Alikuwa anawapa nini huko Kimbiji mtoto wa kizenji?

Mbona hao wengine akiwemo Mayele hakuna anayetaka kumnunua?
NI KWELI FEISAL MASHABIKI WA YANGA TUNAMPENDA...BILA KUJALI AMETUFANYIA NINI...NA HATA AKIRUDI LEO...TUPO TAYARI KUMSAMEHE NA KUMPOKEA...

HIYO YOTE NI KWA SABABU TUNAPENDA MAENDELEO YAKE...INATUUMA...KWENYE MAFANIKIO HAYA...TUNATAMANI ANGEKUWA SEHEMU YA MAFANIKIO HAYA...ILA NDIYO HIVYO...ROHO INAUMA SANA...
 
Wala sikasiriki nashangaa mnavyojipendekeza kwa mtu aliyekataa kunyonywa kwa ujira wa mil4 ,
Sio tunajipendekeza...TUNAPENDA KWA KWELI...HATA AKIRUDI LEO TUPO TAYARI KUMSAMEHE NA KUMPOKEA...NA KUMPIKA UPYA...ILA TUNAMSIKITIKIA ALIKO HUKO ANAVYOPOTEA...
 
Sio tunajipendekeza...TUNAPENDA KWA KWELI...HATA AKIRUDI LEO TUPO TAYARI KUMSAMEHE NA KUMPOKEA...NA KUMPIKA UPYA...ILA TUNAMSIKITIKIA ALIKO HUKO ANAVYOPOTEA...
Yaani wewe unajua kama anapotea Ila yeye hadi Leo hajui kama anapotea
 
Back
Top Bottom