Feisal Salum, za kuambiwa changanya na zako. Muda ni wakili mzuri sana

Umechoka wewe na nani?
 
Katika maisha, tunatakiwa kuwa wavumilivu, na pia watu wa kuheshimu mikataba tunayoingia, ili kuepusha migogoro isiyo navulqzima wowote ule.

Huyu dogo amezingua sana. Ingawa kuna watu wanaamini alikuwa sahihi. Ila kiukweli ametumia njia ya kihuni. Ingekuwa mikataba inavunjwa kirahisi hivi, basi timu nyingi duniani zingekosa wachezaji wazuri.
 
Pesa
Pesa
Pesa ndio wakili mzuri kuliko wooote
 
Dogo anakipaji angekuwepo saiv mngetoboa champion league na sio hilo kombe la upinde .....
Nadhani wewe hufatilii mpira halafu umekuja lu coment kwenye uzi wa watu wa mpira

Punguza aibu ndogo ndogo futa hii
 
bwan mdogo mpumbavxtra
 
Kila mtu ana maamuzi yake binafsi by the way humlishi wewe
Mwakani utamwona msimbazi
 
Umekomenti kijinga Tena. Una uhakika hawatakiwi? Umejaa usimba tu!
NI KWELI FEISAL MASHABIKI WA YANGA TUNAMPENDA...BILA KUJALI AMETUFANYIA NINI...NA HATA AKIRUDI LEO...TUPO TAYARI KUMSAMEHE NA KUMPOKEA...

HIYO YOTE NI KWA SABABU TUNAPENDA MAENDELEO YAKE...INATUUMA...KWENYE MAFANIKIO HAYA...TUNATAMANI ANGEKUWA SEHEMU YA MAFANIKIO HAYA...ILA NDIYO HIVYO...ROHO INAUMA SANA...
 
Wala sikasiriki nashangaa mnavyojipendekeza kwa mtu aliyekataa kunyonywa kwa ujira wa mil4 ,
Sio tunajipendekeza...TUNAPENDA KWA KWELI...HATA AKIRUDI LEO TUPO TAYARI KUMSAMEHE NA KUMPOKEA...NA KUMPIKA UPYA...ILA TUNAMSIKITIKIA ALIKO HUKO ANAVYOPOTEA...
 
Sio tunajipendekeza...TUNAPENDA KWA KWELI...HATA AKIRUDI LEO TUPO TAYARI KUMSAMEHE NA KUMPOKEA...NA KUMPIKA UPYA...ILA TUNAMSIKITIKIA ALIKO HUKO ANAVYOPOTEA...
Yaani wewe unajua kama anapotea Ila yeye hadi Leo hajui kama anapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…