Feisal Salum, za kuambiwa changanya na zako. Muda ni wakili mzuri sana

[emoji1][emoji1]mashabiki ni watu wanafiki sana,
Mfano saizi hakuna hata anayemuulizia Mkude, au Makambo, lakini kwenye peak zao waliimbwa sana

Dogo akisepa Yanga kuna Simba / Azam zitamnyakua tuu, na hatolipwa mil 4 kama anazolipwa Yanga[emoji3] na umri bado unambeba

Mashabiki lazima waumie tuu
 
Eeh ndio vilevile hakuna anayeulizia wala kuumia juu ya mshahara wa Bocco au mkude wala mzamilu yaasin...wote vichwa vyenu vinauma juu ya feisal...kama sio UNAA NI NINI?
 
Eeh ndio vilevile hakuna anayeulizia wala kuumia juu ya mshahara wa Bocco au mkude wala mzamilu yaasin...wote vichwa vyenu vinauma juu ya feisal...kama sio UNAA NI NINI?
Hakuna anaeumia kwa mshahara wa Feisal zaidi ya Feisal mwenyewe ndiomaana kagoma
 
Eeh ndio vilevile hakuna anayeulizia wala kuumia juu ya mshahara wa Bocco au mkude wala mzamilu yaasin...wote vichwa vyenu vinauma juu ya feisal...kama sio UNAA NI NINI?
Sisi mashabiki tutapiga kelele kwamba atapotea nk kwavile anatufurahisha uwanjani, Yeye mwenyewe kaamua kuangalia maslahi yake sio mapambio ya mashabiki, na mpaka sasa hata akirudi ataongezewa dau, hivyo vita ameishinda
 
Ndo wale wale mkiambiwa kuwa ni washauri wabaya mnaibuka kivingine. We unadhani maamuzi aliyofanya ni sahihi? Acheni kudandia mada ambazo hamuwezi kuzidadavua kwa kina.
 
Ila wazanzibar ni majasiri sana, can you imagine dogo Fei alisimamisha shilingi kwamba Hersi aondoke Yanga ndo yeye ataendelea kukipiga jangwani
 
Ila wazanzibar ni majasiri sana, can you imagine dogo Fei alisimamisha shilingi kwamba Hersi aondoke Yanga ndo yeye ataendelea kukipiga jangwani
Mwisho wa siku akaondoka nani? Je aliyeondoka kaweza kuifanya Yanga ishindwe kufikia malengo yake? Vipi kuna pengo lolote la aliyeondoka?
 
ya fei yashapita
 
Ogopa Mungu na Terminology sasa hivi Mayele uliyekua unamtukana Yuko zake Pyramids. Anacheza Ligi namba moja Afrika.
Yanga SC hiyo makundi CAF league...
Mayele pia na timu yake...
Azam ya Fei chaliii...

Feisal nadhani Kwa sasa haamini Yale anayoyaona... Sahivi angekua ni star mkubwa lakini ndo basi tena...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…