Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Mwanaume lazima uwe na msimamo wa kusimamia kile unachokiamini haijalishi watu watakuona vipi.

Bora njaa kuliko shibe ya masimango. Niko na Feisal
Na hao ndo wapembaa hao tajiri na Mali yake masikini na watoto wake..wabishiiii balaaa
 
Kwamba mama aka piga simu kuwaambia mpeni miaka miwili .wao waka ongeza mmoja na lenyewe kama jinga lika enda ku sign .
Hawa wana sheria wake ange enda nao kwenye ku sign ange pungukiwa nini ? Hiyo hoja ya yeye kusema Ali taka miaka miwili haipo usha sign mkataba imeisha iyo Ignorantia juris non excusat
Devil, Fei ni mjinga, na amekiri mwenyewe kuwa hajui hata kingereza. Yeye alichoambiwa ndo alichoamini kuwa kipo kwenye mkataba kwa ujinga wake akasaini.

Sasa anacholilia Fei ni kuondoka, aambiwe gharama ya ujinga wake ili ailipe aondoke kwa sababu pamoja na tatizo la kimkataba ameshimdwa kufanya kazi na kiongozi wake. Kama ikishindikana anaenda CAS na ikishindikana basi mpira wake umeishia hapo. Kweli hili ni gumu kiasi hichi?
 
CAS lazma atoboe hakuna mkataba usiovunjwa either kimakosa au kwa usahihi,suala ni nani mwenye makosa na atapewa adhabu kati ya yanga na fei.
Jidangaye, kwa taarifa yako CAS hawavunji mikataba halali na hawana hayo mamlaka! unless kama mkataba ni batili
 
Yani Hersi atume watu wamtukane Feisail na Mama?!

Nitakua wa mwisho kuamini hii. Kuhusu mkataba naweza kuamini, Bongo magumashi mengi.

Tusubiri upande wa pili kama wataona inafaa kujibu.

Hersi alishaongea sana hapo hapo Clouds kuhusu hilo sakata, na leo ilikuwa zamu ya Feisal kubalance mizani...
 
Hersi ndiyo alikuwa anataka mtoto awe afande, ametumia tafsida tu kuficha ukweli wa kile kilichomkuta
Hizo tetesi za hersi alitaka kumuafande dogo nahisi inabidi zifuatiliwe. Maana manyanyaso hayaeleweki. Ila hapo kwenye kumuafande dogo ni bora dogo kakataa. Eti cocastic hizo tetesi ni kweli, kuwa feitoto walitaka kumuafande ila akakaza?
 
Evidence [emoji41]
Unakumbuka wakati bimkubwa wake anatoa maelezo alisema kuwa mambo mengine ni siri kubwa hayawezi kusemwa hadharani,unafikiri ni mambo gani hayo? Watu wanamlaumu Feisal kwa vile hawajua hasa ni changamoto gani alikutana nazo huko vinginevyo wangemsifu kwa kukataa kuvunja utu wake kwa tamaa za kidunia.
 
Nilishasema kweny mpira na Maendeleo ya nchi watanzania huwa tuna shida janja janja ni nyingi sana
 
Mwanzoni kabisa hoja ilikua anafanya kazi kubwa malipo kidogo,kazi yake haithaminiwi,leo hii hana shida na mkataba (Yanga)shida yake Eng Hersi,aisee wkt fulani ni vema kukaa kimya coz nayo ni hekima pia.
 
Back
Top Bottom