Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Kama taasisi inakupa stahiki zako kwa wakati na hakuna kipengele wamevunja huko CAS utaenda kusema haupendani na boss?
AMESHASEMA YULE MSHAURI WAKE. Kule anaenda huenda akaambiwa alipe faini aondoke tofauti na adhabu anayopewa na Hersi na kama akishindwa basi atabaki mtaani riski ni mpango wa MUNGU.

Wewe huoni tatizo hapo? Huyu anaenda CAS akiwa na uelewa kuwa kisheria kashikilia makali ila kuliko kurudi kwa Hersi bora ajaribu. Haya anayafanya akiwa kapewa ofa ya 30m ipo mezani. Ni nn hicho kimempa hizo hasira? Kwamba kuna timu imempa ofa zaidi ya 30m?
 
Kwamba mama aka piga simu kuwaambia mpeni miaka miwili .wao waka ongeza mmoja na lenyewe kama jinga lika enda ku sign .
Hawa wana sheria wake ange enda nao kwenye ku sign ange pungukiwa nini ? Hiyo hoja ya yeye kusema Ali taka miaka miwili haipo usha sign mkataba imeisha iyo Ignorantia juris non excusat
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka sana...Hebu tulia kwanza...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada mbna kulikua na fukuto chimboo si ndo takadini akataka mashavu mbonyeo atoke pale salamander tower kisa shabiki wa lunyasi, dimpoz akamuambia utatokaa wee mie nipoo sanaa.

Sitakiiiiiiii
 
Hilo lazima. Yanga na TFF nawadharau sana ambapo wanadai kuwa fei bado ana mkataba nao lakini hawamchukuliii hatua yoyote richa ya utoro wa takribani miezi sita bila sababu za msingi.
TFF na Yanga ni very unprofessional kijana ilitakiwa apewe adhabu kali.
unajielewa kweli wewe? wanatoaje adhabu kwa mtu aliekata rufaa?
 
Wengi wenu amjuhi tu ila Feisal alishaLEFT GRUPU letu siku nyingi!
Kwahiyooooo?? Ndo alazimishwee kuinamishwa na mtu hana hisia nae? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jaman bora akimbie, wee kuinamishwa na jitu hulipendi wee kuwezaa?? Lol
 
Zitume humu voice note ambazo mama Fei alidhalilishwa mkuu
Wewe kama huna machoo yakutazama basi tukusaidieje , siunde you tube ukasikilize mahojiano yake na mtangazaji kama hdi hapo Huna akili hiyo tukisaidiaje
 
Rufaa zote zimeisha. Na yanga ndio ilkua ya kwanza kupeleka shauri.
Yanga wanajua huko CAS hatoboi ndio maana wana muacha azurule akili zake ni kwamba atapigwa fine na adhabu baadae awe huru wenzake wamewaza mbali
 
Exact Kuna wanaume humo Hawajui thamani za mama zao Ndo maaana sijui na Ndo wake zao wanawashika masikio kutukana mama zao wanaona kawaidaa TU
Na ndo wanaita mama zao wachawi hawa
Hao ndio tunawaita maagent wa shetani na tunawafungulia Uzi soon nikiwa free manaa nataka niwachambee haswaa
 
Nimesikia voicenote za masoud kipanya na feisal wakimuelekeza namna ya kujibu
Yani haya mambo aliyosema kumbe walipanga waseme na si ukweli?
This is very disappointing,
Clouds wamejiharibia
 
Yanga wanajua huko CAS hatoboi ndio maana wana muacha azurule akili zake ni kwamba atapigwa fine na adhabu baadae awe huru wenzake wamewaza mbali
CAS lazma atoboe hakuna mkataba usiovunjwa either kimakosa au kwa usahihi,suala ni nani mwenye makosa na atapewa adhabu kati ya yanga na fei.
 
Yani Hersi atume watu wamtukane Feisail na Mama?!

Nitakua wa mwisho kuamini hii. Kuhusu mkataba naweza kuamini, Bongo magumashi mengi.

Tusubiri upande wa pili kama wataona inafaa kujibu.
Tusi NI neno ambalo litamkera mtu, Kama Hersi alijibu neno la hovyo yeye akidhani ni jepesi basi limemkera mama na mtoto. Na Kama hakutukana kwa nini Fei anasema Eng. alimuomba msamaha? Kuwa wa mwisho ni hiari ya mtu mkuu.
 
Hizo pointi unazichukulia poa? Hapo maana yake hakuna mazingira Bora ktk utekelezaji wa mkataba husika Mtu Hana elimu ya kutosha, ulitegemea aongee vipi
Timu ni unbeaten....imeshinda mechi 49 mpaka yy yupo ..Hilo neno la kuuza mechi linapatikana ktk mazingira gani...!!?

Hivi unadhani watu wana akili za ugali na Sukari ka Fei!?
 
Back
Top Bottom