Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Haya wana Yanga SC mnaomtaka Feisal Salum 'Feitoto' muondoeni upesi Uongozini Rais wenu Injinia Hersi Said ili arejee hata leo.

Chanzo Taarifa: Jemedari Said Bin Kazumari akiongea Mubashara muda mfupi uliopita katika Kipindi cha Michezo cha EFM cha Sports Headquarters.

Kazi ipo....!!
Feisal yy aende tuu!Engineer abaki!
 
Nipo upande wake lakini hapo kwenye kutokujua mkataba unasemaje sababu ni wa kingeleza namlaumu. Kwanini asaini dili kubwa kama hii bila kuwa na mtalamu wa haya mambo
Kuna maskini anaweza kumumgharamia mwanasheria??
Ni kawaida wenyevipaji kudhulumiwa kipindi hawajulikani kutokana na umaskini wao na ujinga wakati mwingine
 
Mkuu, Hakimi hakuwahi kudeka kwa mama yake. Hakimi aliona namna anavyo enda kunasa kwenye tego la mshangazi ndipo akaamua kumrithisha mama yake kila kilicho chake
CR7 je?
 
Kuna manyanyaso hayavumiliki mzee baba...huwezi jua yote.
Kwenye maisha ukiendeza kiburi haufiki mbali sisi wakristo tuna ambiwa mithali 16: 18-19 "kiburi hutangulia uangamivu; na roho yenye kutakabari hutangulia maanguko. Afadhali kuwa na roho ya unyenyekevu pamoja na maskini ,kuliko kugawanya nyara pamoja na wenye kiburi. "Shetani alitupwa kutoka mbinguni kwa sababu ya kiburi
 
Umemsoma?.siku ya kusaini mkataba amesema alikua na nani? Any way elimu ni lazima kwa kila mtu..na mikataba iandikwe kwa kiswahili tuache ukoloni.
images (1).jpeg

Shida ni kuwa alikuwa anasaini huku anamwangalia camera man badala ya kusoma anachosaini 😂😂😂😂
Safi Sana engineer 👍👍
 
Kitendo cha feisal kusema amesaini mkataba kwa lugha ya kiingereza wakati yeye hajui lugha hyo hapo tayari feisal ameshinda kesi tayari hata Simon msuva alishinda kesi yake kwasababu alisaini mkataba ambao hajui ndani kumeandikwa nn na hakuwa na shahidi wala mwanasheria na nikinyume na utaratibu unavyotakiwa feisal kashinda kesi tayari mwanasheria wa yanga ni miongoni mwa wanasheria vilaza kuwahi kutokea Tanzania hajawahi shinda kesi yoyote.
Kutojua sheria si kigezo cha kutoshtakiwa!hilo sio kosa la YANGA!alikatazwa kwenda na mwanasheria wake?useless kabisaa!utetezi wa kikolokolo huuu
 
"niliambiwa na viongozi wa Yanga kuwa nauza mechi iliniuma sana na nikipokuwa nawapigia simu hao viongozi waliokuwa wanatamka hayo maneno hawapokei simu yangu.

"Viongozi walikua wanamtukana mama yangu na kutoa matusi ya kumnyanyasa hata ingekua ni wewe ndugu mwandishi usingekubali kutukaniwa mzazi"

"Kula ugali kwa sukari sikula saivi nilikula kipindi kile timu bado ilikua ipo chini kiuchumi na kuna muda tulicheleweshewa mishahara lakini Mama aliniambia vumilia mwanangu maana alikua ni mpenzi wa mkubwa wa Yanga.

"Mama kuna muda mwingine alinipa pesa yake tulipokua tumecheleweshewa mshahara."

Mwandishi: Tueleze umepitia manyanyaso gani?

"Naambiwa nauza mechi, viongozi wananitukana na nikiwaambia familia wanasema nivumilie.

"Mama yangu alikuja Dar wakamtukana na kuanza kumpa maneno ya kejeli."

"Huyo huyo Raisi anatuma watu wamtukane mama yangu wanamuita mama yangu andazi "

Wanitukane Mimi lakini siyo mama yangu maana mama yangu ni pepo yangu"

"Nimekaa masaa sita na Engineer Hersi kuwa hapa nilipofikia nataka niachane na Yanga na Hers alisema kuwa bado anahitaji huduma yangu"

Raisi: anampigia simu mama na mama aliniambia niende kusaini mkataba na mama alimwambia mpe Fei mkataba wa miaka miwili"

Hers aliongeza mwaka mmoja badala ya miaka miwili"

"Mimi sijui kiingereza walinipa mkataba wa miaka mitatu"

"Signing fee sijapewa kwa wakati nilipewa kidogo kidogo tena kwa kutumiana meseji za vitisho"

"Nataka kukusanya milioni 60 niende CAS na watanzania wengi wananichangia na utaratibu umeanza tunasubiri invoice"

"Unajua yanga ni taasisi kubwa na Mimi ninawapenda wanayanga nilimwambia hers ata Kama alinikosea Ila nilimwambia tukae chini tumalizane na hers alikili makosa yake lakini Mimi nilitaka tuachane nikatafute maisha sehemu nyingine"

"Nilimwambia eng Hers bmkubwa alikuambia Miaka miwili lakini ukanipa mitatu lakini hers hakunijibu"

"Familia yangu wanaipenda Yanga lakini kilichonitoa Yanga ni manyanyaso"

"Hakuna timu inayonitaka na ndiyo maana nilitaka kuvunja mkataba niende kutafuta maisha yangu pengine"

"Tumekaa na familia yangu niliona Bora tuvunje mkataba na niliwaomba viongozi tuachane nilichangiwa pesa na familia"

"Mimi siwezi kula dhuluma siwezi kula pesa ambayo siifanyii kazi na ndiyo maana wakituma pesa zinarudi"

"Mimi sipendi hizi kelele nataka hili Jambo liishe na nafsi yangu haitaki kucheza Yanga na ndiyo maana nilikaa nao chini viongozi chini tuyamalize nikatafute maisha sehemu nyingine"

",Kama Jambo litakua haliishi ni bora nikae nyumbani maana ndiyo mwenyezimung atakua amepanga hivyo" kipaji kuisha.

"Hers anasema nauza mechi kun pass moja nilimpa Mayele aongeze magoli mbele ya kipa lakini Mayele alikosa hapo Hers akaanza kusema kuwa nauza mechi"

"Nilimtafuta GSM aje kutafuta suluhu lakini hakupokea simu zangu lakini aliposikia sakata Hili ndiyo akaanza kunitafuta na Mimi sikupokea simu yake"

"Nilikutana Hers akasema kuwa anataka nirudi Yanga nilikataa basi akaniambia niende CAS"

"Hers anadharau kubwa sana na Msolwa alikua ni mkarimu sana"

"Watu hawajiulizi ni kwa nini Fei hajaondoka katika kipindi kile Cha Yanga ngumu lakini nimeondoka kipindi hiki kizuri".

"Mimi nina matatizo na Raisi wa club Sina Tatizo na club Ila hers ndiyo Raisi wa club ndiyo Nina tatizo nae"

"Mpaka Sasa hela haijatosha Ila nashukuru Watanzania wameshanichangia kiasi cha shilingi milioni tisa (9)

"Mimi Nina rafiki na ndugu na wengine wapo humo humo ndani ya klabu ya yanga ndiyo walinichangia kurudisha pesa ili nivunje mkataba."

"Naitakia kila la heri Yanga katika fainali yake huko Algeria na nitaiombea Dua mungu ifanye vizuri"

"Mimi nimeongea yote lakini nafsi yangu haitaki kurudi kabisa Yanga sc"
niseme ukweli, tangu huyu dogo aanze kucheza, huwa sioni kama ni mchezaji wa muhimu sana hata kumgombania. ni wa kawaida sana sana. na ameshauriwa vibaya sana, kwa mechi za kimataifa ambazo wenzake wamecheza hadi sasa angekuwa amepandisha thamani yake pakubwa sana, sasa anazidi kupoteza tu. kwani akienda rufaa huko anakoenda, akashindwa, nini kitafuata?huyo ashikiliwe hivyohivyo hadi atie adabu na mpira kwake umeshaisha imebaki tu kwenda kucheza mdako mchambawima.
 
AENDE TUU ASITUCHOSHE!YANGA IPO NA ITAENDELEA KUWEPO!WALIONDOKA KINA SUNDAY MANARA,OMAR MWAMBA KAPERA,GIBSON SEMBULI,KITWANA MANARA POPAT, WAKAJA KUONDOKA KINA LUNYA,KIZOTA,MAMCHINGA ETC!NA YANGA BADO IPO!SEMBUSE HUYU FEISAL!FEISAL NANI BANA MBELE YA YANGA!!!YANGA IMEANZISHWA 1935 NA IPO HADI LEO!WAMEPITA WACHEZAJI GANI WAZURI PALE??ASITUTISHE SISI
Ye mwenyewe anaiombea dua Yanga. Mama yake ni shabiki mzuri tu wa Vyura. Inawezekana ana mapenzi na club kuliko hata wewe ila ana shida na kiongozi fulani hapo club.
 
Fei Yanga haimnyanyasi ananyanyaswa na Hersi. Ana matatizo na Hersi. Ni mambo binafsi ila Hersi anatumia nafasi yake kumtandika na amevumilia kachoka hataki tena. Hata huko alipoenda anajua kisheria anaweza shindwa ila anafikiri maelekezo ya adhabu atakayopewa yana nafuu kuliko anachotaka Hersi sababu Hersi hataki kumuachia anataka kumnyoosha ndo maana hataji pesa yoyote anayotaka kutoka kwa Fei anataka aripoti kambini na timu inayomtaka ije, yeye anasema hakuna timu inamtaka.

Weka Uyanga pembeni, mtazame Fei na Hersi.
Alie mpa hio offer ni nani kama Hersi ndio ana mnyanyasa? yaani kuna kitu hasa kinacho husu pesa kunaweza fanyika pale Yanga Hersi asihusike?
 
Huo upumbavu anaongea?

Nipo tayari kurudi Yanga Hersi akiondoka

Moyo wangu haupo Yanga tena, siwezi kurudi Yanga

Mkataba wangu hauna shida na mshahara hauna shida maana nilisaini mwenyewe,ila siwezi kurudi kwasababu ya manyanyaso.

Sasa hapo unaona huyo mtu anaakili timamu kweli? Yeye mwenyewe hajui anachotaka
 
Nimeona clips chache,nikajiuliza;Hersi alimuomba Feisal kwa mpalange nini?Ukizingatia GSM anawapelekea moto kina Ommy dimpoz kwa mpalange.
GSM ommy dimpoz ni shemu wake pendwa, ommy si mke wa gavana Joho., GSM anamla Kamwe, Sallah anamla Priva, prezoo anamla takadini.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kutojua sheria si kigezo cha kutoshtakiwa!hilo sio kosa la YANGA!alikatazwa kwenda na mwanasheria wake?useless kabisaa!utetezi wa kikolokolo huuu
Ni kutafuta public sympathy na kuna watu wanashangilia kama mazuzu
 
Back
Top Bottom