Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Hii Somali ngoja ilete janja janja yake, wapemba watadeal nae atajikuta katikati ya Mogadishu akacheze na Al shabaab [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiii woiiiiih
 
Hizo pointi unazichukulia poa? Hapo maana yake hakuna mazingira Bora ktk utekelezaji wa mkataba husika Mtu Hana elimu ya kutosha, ulitegemea aongee vipi
Kwa hiyo kila mchezaji akisema nimetukaniwa Mama yangu na akienda CAS mkataba unavunjwa sio! Jamani tuwape elimu watoto wetu ili wakipewa hiyo mikataba uwe wa mpira wa miguu au kazi ya benki n.k waweze kutambua matobo yaliyomo kwenye mkataba.
 
Dogo tu kashindwa kujieleza ila ukweli ni kwamba wachezaj wa kizawa hawana thamani kwenye hiz tim za kkoo [emoji119]wakuja ndio hupewa kipaumbele
 
Kwa hiyo kila mchezaji akisema nimetukaniwa Mama yangu na akienda CAS mkataba unavunjwa sio! Jamani tuwape elimu watoto wetu ili wakipewa hiyo mikataba uwe wa mpira wa miguu au kazi ya benki n.k waweze kutambua matobo yaliyomo kwenye mkataba.
Wachezaji wengi ndio point zao hzo, hakuna wanachokijua zaidi ya hapo.... Wakishapewa magari na kukodiwa apartments ndio basi... Ila hili ni SoMo Kwa wazazi
 
Ndiyo ujinga wenyewe huo. Sheria haina jutokujuwa, angetafuta wanasheria kabla hajasaini mkataba.

Huyo masikini ya Mungu alikuwa haijuwi dunia na hajapata washauri wazuri, ni wakuhurumiwa tu...
Linapokuja suala lisilohusiana na dini,always wewe huwa ni big brain
 
Mkuu hata Messi anasimamiwa na Baba yake anayeitwa Jorge ndio agent wake,hilo sio tatizo,kuna interview moja,Baba yake Messi alisema; "Messi mpaka leo ananisikiliza mimi,hafanyi movement yeyote bila mimi Baba yake"
Most likely baba yupo kama figure head lakini nyuma yake kuna professionals kibao.....lawyers, doctors etc. Super stars kama Messi or CR7 operates kama institutions rather than individuals!
 
Mliokuwa mnamtetea nadhani Leo mmeona kiwango chake cha akili.
Kwenye Kiswahili kuna kitu kinaitwa Misimu. Misemo ya kuvuma na kupotea. Msemo wa "kuchagua Andazi" umevuma baada ya Wimbo wa Roma "NIPENI MAUA YANGU". Wakati wimbo huo unatoka tayari Feisal alishagoma kucheza maana wimbo ni wa March 2023. Aliyelinganisha Watu na Andazi toka Yanga ni Ally Kamwe. Leo anasema moja ya sababu ya kuvunja mkataba ni mama yake kulinganishwa na Andazi?
 
Mama alinunua sukari kilo 100
Na unga kilo 100.
Tuwe tunakula ugali na sukari maana maisha yalikuwa magumu sana.
Na hata nilipojaribu kumpigia kaseke anitumie japo ela kidogo aliniambia yeye anakula ugali na chumvi.
Kweli hali ilikuwa ngumu sana kwangu.
Nimevunja mkataba na yanga kwa kuwa mama hana mafuta ya kujipaka huwa anajipaka mafuta ya kula.
 
Kuna jamaa anaitwa MBUMBUMBU MPUMBAVU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…