Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Mliokuwa mnamtetea nadhani Leo mmeona kiwango chake cha akili.
Kwenye Kiswahili kuna kitu kinaitwa Misimu. Misemo ya kuvuma na kupotea. Msemo wa "kuchagua Andazi" umevuma baada ya Wimbo wa Roma "NIPENI MAUA YANGU"...
Hapo mwisho mbona Feisal kaweka bayana kuwa hajafurahishwa na Mama yake kufananishwa na andazi na nikatika mwendelezo wa haya malumbano?

Pengine nikuulize kulikuwa na ulazima gani wa Kamwe kufananisha washauri wa Feisal na Mandazi ilhal akijua kabisa Mama yake na Feisal ni mmoja wa washauri wake?
 
swala la mikataba Tanzania tunanyanyasika wengi Kuna taasisi kama Aga Khan hospital wenyewe wanakuambia mkataba wao hamna kutoka nje Saini apa apa siku iyo iyo muda uouo.

mwaka Jana nakumbuka nilishindwana na hr wao mmja anaitwa Neema Rugalabamu dharau,vitisho maslahi madogo na unapewa lisaa la kufkiria mkataba.

nilishindwa kwakweli ila ifke pahala watanzania wenyewe tuamke na serikali itusaidie kwenye mikataba
 
Bongo ni kanjanja nyingi sana hapa kwenye suala la maslahi
 
Hapo mwisho mbona Feisal kaweka bayana kuwa hajafurahishwa na Mama yake kufananishwa na andazi na nikatika mwendelezo wa haya malumbano?

Pengine nikuulize kulikuwa na ulazima gani wa Kamwe kufananisha washauri wa Feisal na Mandazi ilhal akijua kabisa Mama yake na Feisal ni mmoja wa washauri wake?
Yule dogo anapenda kuropoka sana
 
Hapo mwisho mbona Feisal kaweka bayana kuwa hajafurahishwa na Mama yake kufananishwa na andazi na nikatika mwendelezo wa haya malumbano?

Pengine nikuulize kulikuwa na ulazima gani wa Kamwe kufananisha washauri wa Feisal na Mandazi ilhal akijua kabisa Mama yake na Feisal ni mmoja wa washauri wake?
Nielewe ninachokipinga kwenye maelezo ya Feisal. Iwe ni sheria au mazungumzo ya kawaida huwezi kuhusisha tusi la Mei 2023 kwenye mazungumzo ya Novemba 2022.
 
Mkuu hata Messi anasimamiwa na Baba yake anayeitwa Jorge ndio agent wake,hilo sio tatizo,kuna interview moja,Baba yake Messi alisema; "Messi mpaka leo ananisikiliza mimi,hafanyi movement yeyote bila mimi Baba yake"

Hata Kama ni George Bush, bado tu ni uzaifu kusimamiwa mambo yako na Mzazi
 
Unataka kusema nn mkuu kwamba Yanga inaongozwa na Rais upinde?
Huoni hapa
JamiiForums-1290500738.jpg
 
Huyu dogo boga kabisa, kunakuwaje na connection kati ya Mama yako na Yanga? Ina maana huwezi jisimamia au
Achiraf Hakimi alianzaga hivi hivi. Labda Maza ndo alikua kama meneja wake by then.
 
Kuna muda kina Hersi watumie busara tu wamuache Feisal toto aondoke kwa sababu huko mbeleni mambo yataharibika zaidi.

Mwanzo Feisal alisema ataongea huko mbeleni, sasa naona ameanza kuongea kidogo kidogo.

Inavyoonekana kuna mambo mazito kati ya Feisal na Injinia ndio maana Fei anasema Injinia akiondoka Yanga, yeye atarud Yanga.

Sasa Injinia akiendelea kumng'ang'ania Fei, huko mbeleni akija kuropoka siri zao itakuwa gumzo la jiji. Isiwe jamaa alitaka kumng'ata kisogo au kumbebesha unga wa ngano mana si kwa hasira aliyonayo Fei mpaka yupo tayari kuacha mpira

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
"Nilimpigia Ghalib lakini hakupokea simu yangu Kwa Muda. Baadaye alinitafuta na Mimi Sikupokea simu yake makusudi.
Kuweka record sawa,Feisal anasema Ghalib alikuwa hapokei simu zake wakati ule bado sakata hili halijapamba moto wakati huo alitaka Ghalib amsikilize malalamiko yake lakini hakutaka kupokea simu zake.Baada ya Feisal kuliamsha na kuwa mzozo kamili ndiyo Ghalib akaanza kumpigia simu na yeye akagoma kupokea.
 
Mbwai na iwe mbwai ukimwaga petrol namwaga diesel

Ndio inaitwa hivyo
 
Back
Top Bottom