Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Hapo mwisho mbona Feisal kaweka bayana kuwa hajafurahishwa na Mama yake kufananishwa na andazi na nikatika mwendelezo wa haya malumbano?Mliokuwa mnamtetea nadhani Leo mmeona kiwango chake cha akili.
Kwenye Kiswahili kuna kitu kinaitwa Misimu. Misemo ya kuvuma na kupotea. Msemo wa "kuchagua Andazi" umevuma baada ya Wimbo wa Roma "NIPENI MAUA YANGU"...
Pengine nikuulize kulikuwa na ulazima gani wa Kamwe kufananisha washauri wa Feisal na Mandazi ilhal akijua kabisa Mama yake na Feisal ni mmoja wa washauri wake?