Hapo mwisho mbona Feisal kaweka bayana kuwa hajafurahishwa na Mama yake kufananishwa na andazi na nikatika mwendelezo wa haya malumbano?Mliokuwa mnamtetea nadhani Leo mmeona kiwango chake cha akili.
Kwenye Kiswahili kuna kitu kinaitwa Misimu. Misemo ya kuvuma na kupotea. Msemo wa "kuchagua Andazi" umevuma baada ya Wimbo wa Roma "NIPENI MAUA YANGU"...
Bongo ni kanjanja nyingi sana hapa kwenye suala la maslahiswala la mikataba Tanzania tunanyanyasika wengi Kuna taasisi kama Aga Khan hospital wenyewe wanakuambia mkataba wao hamna kutoka nje Saini apa apa siku iyo iyo muda uouo.
mwaka Jana nakumbuka nilishindwana na hr wao mmja anaitwa Neema Rugalabamu dharau,vitisho maslahi madogo na unapewa lisaa la kufkiria mkataba.
nilishindwa kwakweli ila ifke pahala watanzania wenyewe tuamke na serikali itusaidie kwenye mikataba
Ukiwaza kwa undani zaidi inatia huruma sana aiseeeNajiuliza nkane na mzinze wao si itakua wameambiwa Tu wekeni dole gumba hapa mtalipwaga 950k kwa mwezi[emoji848]
Yule dogo anapenda kuropoka sanaHapo mwisho mbona Feisal kaweka bayana kuwa hajafurahishwa na Mama yake kufananishwa na andazi na nikatika mwendelezo wa haya malumbano?
Pengine nikuulize kulikuwa na ulazima gani wa Kamwe kufananisha washauri wa Feisal na Mandazi ilhal akijua kabisa Mama yake na Feisal ni mmoja wa washauri wake?
Nielewe ninachokipinga kwenye maelezo ya Feisal. Iwe ni sheria au mazungumzo ya kawaida huwezi kuhusisha tusi la Mei 2023 kwenye mazungumzo ya Novemba 2022.Hapo mwisho mbona Feisal kaweka bayana kuwa hajafurahishwa na Mama yake kufananishwa na andazi na nikatika mwendelezo wa haya malumbano?
Pengine nikuulize kulikuwa na ulazima gani wa Kamwe kufananisha washauri wa Feisal na Mandazi ilhal akijua kabisa Mama yake na Feisal ni mmoja wa washauri wake?
Mkuu hata Messi anasimamiwa na Baba yake anayeitwa Jorge ndio agent wake,hilo sio tatizo,kuna interview moja,Baba yake Messi alisema; "Messi mpaka leo ananisikiliza mimi,hafanyi movement yeyote bila mimi Baba yake"
UdhaifuHata Kama ni George Bush, bado tu ni uzaifu kusimamiwa mambo yako na Mzazi
Udhaifu
Unaona sasa madhara ya kutokusimamiwa na mzazi? Hata kuandika lugha yako tu kwa ufasaha inakua ni mtihani.
njaa mbaya sana unafanya maaamuz ya papo kwa papo bla kufkriria thamani yakoUkiwaza kwa undani zaidi inatia huruma sana aiseee
Huoni hapaUnataka kusema nn mkuu kwamba Yanga inaongozwa na Rais upinde?
Achiraf Hakimi alianzaga hivi hivi. Labda Maza ndo alikua kama meneja wake by then.Huyu dogo boga kabisa, kunakuwaje na connection kati ya Mama yako na Yanga? Ina maana huwezi jisimamia au
Kuweka record sawa,Feisal anasema Ghalib alikuwa hapokei simu zake wakati ule bado sakata hili halijapamba moto wakati huo alitaka Ghalib amsikilize malalamiko yake lakini hakutaka kupokea simu zake.Baada ya Feisal kuliamsha na kuwa mzozo kamili ndiyo Ghalib akaanza kumpigia simu na yeye akagoma kupokea."Nilimpigia Ghalib lakini hakupokea simu yangu Kwa Muda. Baadaye alinitafuta na Mimi Sikupokea simu yake makusudi.
Mbwai na iwe mbwai ukimwaga petrol namwaga dieselKuweka record sawa,Feisal anasema Ghalib alikuwa hapokei simu zake wakati ule bado sakata hili halijapamba moto wakati huo alitaka Ghalib amsikilize malalamiko yake lakini hakutaka kupokea simu zake.Baada ya Feisal kuliamsha na kuwa mzozo kamili ndiyo Ghalib akaanza kumpigia simu na yeye akagoma kupokea.
Wanaobet wanaitaje?Kenya wanaita KUKURU KAKARA.