Si huwa mnasema Tajiri hanuniwi?Tajiri kanuniwa na hapokelewi simu
Huo unaitwa ujinga, si kila simu tunazompigia mtu lazima zipokelewe wakati huo. Kila Mtu ana vipa umbele vyake."Nilimpigia Ghalib lakini hakupokea simu yangu Kwa Muda. Baadaye alinitafuta na Mimi Sikupokea simu yake makusudi.
Sasa dogo kaonesha inawezekana tajiri kununiwaSi huwa mnasema Tajiri hanuniwi?
Ndio ishakula kwake...ajiandae kisaikolojia kula ugali na Sukari kama alivyokuwa mwanzo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sasa dogo kaonesha inawezekana tajiri kununiwa
DahNdio ishakula kwake...ajiandae kisaikolojia kula ugali na Sukari kama alivyokuwa mwanzo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio hivyo ....Msemo wa Tajiri hanuniwi lazima autafsiri kwa vitendo....labda Mama Samia aingilie kati...
hajui kula kipofu huyo Feisal..Tajiri kanuniwa na hapokelewi simu
Aisee..Kuweka record sawa,Feisal anasema Ghalib alikuwa hapokei simu zake wakati ule bado sakata hili halijapamba moto wakati huo alitaka Ghalib amsikilize malalamiko yake lakini hakutaka kupokea simu zake.Baada ya Feisal kuliamsha na kuwa mzozo kamili ndiyo Ghalib akaanza kumpigia simu na yeye akagoma kupokea.
Ndiyo maana Hersi akajiongezaDogo ana hormones nyingi za kike
Pata picha hapooo, kuna nn??Kuweka record sawa,Feisal anasema Ghalib alikuwa hapokei simu zake wakati ule bado sakata hili halijapamba moto wakati huo alitaka Ghalib amsikilize malalamiko yake lakini hakutaka kupokea simu zake.Baada ya Feisal kuliamsha na kuwa mzozo kamili ndiyo Ghalib akaanza kumpigia simu na yeye akagoma kupokea.
Ndo mtake kumla kwa nguvu? Hata km hana hisia na nyiee? Kisa ana hormones nyingi za kike?Dogo ana hormones nyingi za kike
Hiki ni nini!!tena mnakiandika KWA KUJIAMINI hivi!!?Hersi nae itakuwa alitaka kumla Fei toto.Ali Kamwe na Priva wanaliwa kweli na wanaonekana kabisa.GSM anakula dimpoz pia. Sema basi atakuwa anapokezana na Joho 001.
Yaani kutakuwa na bifu kali kati ya Injinia na Fei, siyo bure. Injinia akiendelea kugomea kuvunja mkataba tutasikia mengi sana.Ndo mtake kumla kwa nguvu? Hata km hana hisia na nyiee? Kisa ana hormones nyingi za kike?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kwa sababu Injinia aliyataka mwenyewe, na akiendelea kuchelewa kuvunja mkataba yataibuka mengi.Hiki ni nini!!tena mnakiandika KWA KUJIAMINI hivi!!?
Ina maana mnamaanisha hicho mnacho kiandika!!?
Hamtaki Hersi pale Yanga. Labda jamaa anaendesha timu kimafia mafiaKwa hiyo Engineer akiondoka yanga Feisal anarudi yanga
Kwa hiyo Feitoto anachokipigania ni Maslahi ya kimkataba au anapigania Engineering aondoke yanga? Au mi ndo cjaelewa