Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

"Nilimpigia Ghalib lakini hakupokea simu yangu Kwa Muda. Baadaye alinitafuta na Mimi Sikupokea simu yake makusudi.
Huo unaitwa ujinga, si kila simu tunazompigia mtu lazima zipokelewe wakati huo. Kila Mtu ana vipa umbele vyake.
Ghalib hajapokea simu, na yeye Faisal hajapokea simu, sasa kwanini alalamikie hilo?

Huo ni utata (contradiction).
 
Kuweka record sawa,Feisal anasema Ghalib alikuwa hapokei simu zake wakati ule bado sakata hili halijapamba moto wakati huo alitaka Ghalib amsikilize malalamiko yake lakini hakutaka kupokea simu zake.Baada ya Feisal kuliamsha na kuwa mzozo kamili ndiyo Ghalib akaanza kumpigia simu na yeye akagoma kupokea.
Aisee..
 
Nilimtafuta GSM aje kutafuta suluhu lakini hakupokea simu zangu lakini aliposikia sakata Hili ndiyo akaanza kunitafuta na Mimi sikupokea simu yake
 
Kuweka record sawa,Feisal anasema Ghalib alikuwa hapokei simu zake wakati ule bado sakata hili halijapamba moto wakati huo alitaka Ghalib amsikilize malalamiko yake lakini hakutaka kupokea simu zake.Baada ya Feisal kuliamsha na kuwa mzozo kamili ndiyo Ghalib akaanza kumpigia simu na yeye akagoma kupokea.
Pata picha hapooo, kuna nn??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hersi nae itakuwa alitaka kumla Fei toto.Ali Kamwe na Priva wanaliwa kweli na wanaonekana kabisa.GSM anakula dimpoz pia. Sema basi atakuwa anapokezana na Joho 001.
Hiki ni nini!!tena mnakiandika KWA KUJIAMINI hivi!!?

Ina maana mnamaanisha hicho mnacho kiandika!!?
 
Ndo mtake kumla kwa nguvu? Hata km hana hisia na nyiee? Kisa ana hormones nyingi za kike?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani kutakuwa na bifu kali kati ya Injinia na Fei, siyo bure. Injinia akiendelea kugomea kuvunja mkataba tutasikia mengi sana.

Haiwezekani Fei yupo tayari kuacha mpira kisa Injinia.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Injinia vunja mkataba Fei aondoke ulinde heshima yako.

Unashangaa Fei anaenda CAS anasema alikuwa ananyanyaswa kijinsia na kuonesha ushahidi, unashangaa Yanga wanatakiwa wamlipe mabilioni ya pesa.

Mana mashabiki tumejikita katika mkataba kwamba Yanga ana haki, kumbe chini ya kapeti dogo alikuwa ananyanyaswa kijinsia na kutaka kuliwa na ushahidi anao, unafikiri itakuwaje! Ikumbukwe pale Yanga kuna hizo tuhuma za kina Kabwili

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Hiki ni nini!!tena mnakiandika KWA KUJIAMINI hivi!!?

Ina maana mnamaanisha hicho mnacho kiandika!!?
Ni kwa sababu Injinia aliyataka mwenyewe, na akiendelea kuchelewa kuvunja mkataba yataibuka mengi.

Wazanzibar wana misimamo jamani. Fei hataki kurudi Yanga kwa sababu hamtaki Injia pale.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom