totlo masire
JF-Expert Member
- Nov 7, 2021
- 868
- 1,398
Vijana wa zenji Wana tabia kama zile za yule afwande wao [emoji2380]
Mnatumika kushikishwa ukuta sana ili muitoe YANGA ktk attention, uzuri ni kwamba YANGA msimu huu tuna beba makombe yote hadi wake zenu na mademu
Niko pamoja na Feisal kulinda marinda yake.Yaani kutakuwa na bifu kali kati ya Injinia na Fei, siyo bure. Injinia akiendelea kugomea kuvunja mkataba tutasikia mengi sana.
Haiwezekani Fei yupo tayari kuacha mpira kisa Injinia.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Acha inyeshee tuone panapo vujaa.Yaani kutakuwa na bifu kali kati ya Injinia na Fei, siyo bure. Injinia akiendelea kugomea kuvunja mkataba tutasikia mengi sana.
Haiwezekani Fei yupo tayari kuacha mpira kisa Injinia.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Nimekumbuka zamani kidogo kuna wimbo nilikuwa nausikiliza."Nilimpigia Ghalib lakini hakupokea simu yangu Kwa Muda. Baadaye alinitafuta na Mimi Sikupokea simu yake makusudi.
sawa mke wangu mtarajiwaSasa hili povuu vepeee? Muache Fei aongee ukweli, km ni uongo bas wahusika waje wakanusheee
Poleeee wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mke wangu mtarajiwa
Ana maanisha akitoka injinia anarud halaf no fyoko,huyu dogo hamna kituKwa hiyo Engineer akiondoka yanga Feisal anarudi yanga
Kwa hiyo Feitoto anachokipigania ni Maslahi ya kimkataba au anapigania Engineering aondoke yanga? Au mi ndo cjaelewa
Kama injinia alikuwa hvyo asingeruhusu mabishanoInjinia vunja mkataba Fei aondoke ulinde heshima yako.
Unashangaa Fei anaenda CAS anasema alikuwa ananyanyaswa kijinsia na kuonesha ushahidi, unashangaa Yanga wanatakiwa wamlipe mabilioni ya pesa.
Mana mashabiki tumejikita katika mkataba kwamba Yanga ana haki, kumbe chini ya kapeti dogo alikuwa ananyanyaswa kijinsia na kutaka kuliwa na ushahidi anao, unafikiri itakuwaje! Ikumbukwe pale Yanga kuna hizo tuhuma za kina Kabwili
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kumbe hujui kitu kuhusu mpira sheria za FIFA na CAF haziendani na sheria za mitaani huku mahakamani kwetu, kama ulikua hujui basi ni kijuzeNdiyo ujinga wenyewe huo. Sheria haina jutokujuwa, angetafuta wanasheria kabla hajasaini mkataba.
Huyo masikini ya Mungu alikuwa haijuwi dunia na hajapata washauri wazuri, ni wakuhurumiwa tu.
Salama yake huyo kijana amuombe GSM tu kama ataweza, maana nasikia siku hizi kumuona GSM ni vigumu kuliko hata kumuona Rais wa nchi.
CAS huko hawahukumu kihuruma, hana kesi huyo.
Yanga waliwekeza kwa matumaini wavune faida, alikuwa hafahamu kama mpira ni biashara?
Huwezi kuwarudishia million 100 ya kusaini useme ndiyo umemalizana nao. Hapo ilitakiwa awalipe gharama zao zote na faida juu, kwa uchache nahisi kama 1b.
Ushirikina uliopo kwenye mpira anafikiri kuna huruna huko? Maawe.
Awaambie viongozi wa timu anayotaka kuhamia wa "negotiate" na viongozi wa Yanga. Simpo.
Kumbe hujui kitu kuhusu mpira sheria za FIFA na CAF haziendani na sheria za mitaani huku mahakamani kwetu, kama ulikua hujui basi ni kijuze hapo tu Fei alipo fikia ni adhabu tosha FIFA na CAF hawaruhusu mchezaji akae nje kwa miezi minne kwa migogoro na ya kimkatabs na timu yake kwahiyo msishangae janja aka ruhusiwa kucheza timu nyingine huku kesi yake ikiendelea Yanga mta kuja kustaajabu mmeachiwa manyoya jwa sababu mpaka sasa ni miezi inaenda mi 5 Fei yupo nje ya uwanja.
Kwakua dishi lime yumba basi unaona wote wanao comemt ni hamnazo kama wewe NZALA . sijakopi popote katafute huyo mchambuzi nzala alie andika hivi halafu uje hapa unionyeshe.Umecopy kwa mchambuzu nzala umekuja nalo moja kwa moja huku,
Inategemeana na makosa
Ivan Toney anakamba ya miezi 8
Kwakua dishi lime yumba basi unaona wote wanao comemt ni hamnazo kama wewe NZALA . sijakopi popote katafute huyo mchambuzi nzala alie andika hivi halafu uje hapa unionyeshe.
Nilicho kiandika kinafanana ila hakija kopiwa hapo hata nukta hata huyo Ayo simjui.View attachment 2644201
Haya mtoto wa Fikret bdo unawaza chai au unamtaka dada tulai
Nilicho kiandika kinafanana ila hakija kopiwa hapo hata nukta hata huyo Ayo simjui.
Mkuu Castr upo sahihi sana.Mpira wa bongo mgumu sana.
Huko kwa wenzetu ni unakuta mchezaji mambo ya nje ya uwanja wakala na wanasheria ndiyo wanadeal nayo yeye huku anaendelea kukipiga uwanjani.
Yeye atakuja kuongea siku anasaini mkataba au anaaga mashabiki. Wakitokea wachezaji kama huyu utaona tu kocha hampi namba, akileta dharau zaidi anapelekwa kucheza na under 20.
Juzi Messi aliondoka bila kuaga. Alivyorudi hakuanza kusema ananyanyaswa wanamchunga sana akaomba msamaha kwa klabu na mashabiki.
Caicedo ana uhakika 100% Arsenal imepeleka ofa ila Brighton wanakaza asitoke, hakutaka kuomba mkataba uvunjwe badala yake akaenda kuiomba timu imuachie.
Ila Bongo [emoji50][emoji100][emoji24]
Na bado huu mpira una mashabiki unawakuta wanatukanana, na hawa mashabiki ndiyo wanaakisi wachezaji wenyewe sasa.
Maelezo yako yamejaa assumptions! Ushabiki Maandazi unakutia upofu na kushindwa kuona upumbavu wa Feisal! Kwa mfano, eti anadai alimpigia GSM lakini GSM hakupokea simu. Kwavile hakupokea basi na yeye hakupokea pale GSM alivyompigia! Hivi kama sio upumbavu tuite nini?! Alifahamu ni kwanini GSM hakupokea hadi na yeye agome kupokea?! Hata akina sie tusio na mambo mengi mara nyingi tu huwa tunashindwa kupokea simu halafu ije kuwa mtu kama GSM? Endeleeni kumjaza ujinga, na ndo maana anajiona very special to the point anaamini GSM should immediately pick up the phone pale Feisal akipiga! Ni upumbavu ulioje!!Kwani kuna ajabu gani,siku zote mwanzo wa mapatano ni pale mahasimu wawili wanapokutana na kuzungumza tofauti zao.Feisal aliamini wanaenda kuzungumzia tofauti zao na pia kusikilizwa matakwa yake na si vinginevyo