Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Feisal Salumu: Nimeondoka Yanga kutokana na manyanyaso, nilizungumza na Rais wa Yanga kwa saa 6, nikamwambia nataka kuondoka

Vijana wa zenji Wana tabia kama zile za yule afwande wao [emoji2380]
Mnatumika kushikishwa ukuta sana ili muitoe YANGA ktk attention, uzuri ni kwamba YANGA msimu huu tuna beba makombe yote hadi wake zenu na mademu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Nilimpigia Ghalib lakini hakupokea simu yangu Kwa Muda. Baadaye alinitafuta na Mimi Sikupokea simu yake makusudi.
Nimekumbuka zamani kidogo kuna wimbo nilikuwa nausikiliza.

"Mtoto bado hajaziliwa, mshamchimbia kaburi, Nimeamua kuwa kiburi jeuri na wazazi bado wananiombea mazuri." Sijui nini nini. Sikumbuki ila ulikuwa wimbo fulani wa kutolamba watu miguu bila kujali wana nini.
 
Kwa hiyo Engineer akiondoka yanga Feisal anarudi yanga

Kwa hiyo Feitoto anachokipigania ni Maslahi ya kimkataba au anapigania Engineering aondoke yanga? Au mi ndo cjaelewa
Ana maanisha akitoka injinia anarud halaf no fyoko,huyu dogo hamna kitu
 
Injinia vunja mkataba Fei aondoke ulinde heshima yako.

Unashangaa Fei anaenda CAS anasema alikuwa ananyanyaswa kijinsia na kuonesha ushahidi, unashangaa Yanga wanatakiwa wamlipe mabilioni ya pesa.

Mana mashabiki tumejikita katika mkataba kwamba Yanga ana haki, kumbe chini ya kapeti dogo alikuwa ananyanyaswa kijinsia na kutaka kuliwa na ushahidi anao, unafikiri itakuwaje! Ikumbukwe pale Yanga kuna hizo tuhuma za kina Kabwili

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Kama injinia alikuwa hvyo asingeruhusu mabishano
 
Shida yetu watanzania wengi tunapenda kupangia watu maisha wakati hata ya kwtu hatuwezi kuyapanga.Mtu anataka kuachana na Yanga, ila watu wapo hapa wanaumiza vidole kumuita mjinga na maneno kibao. Maisha ya mtu anayafanyia maamuzi mtu mwenyewe na kuamua anataka alyaende vipi..Wewe nae fanya maamuzi ya maisha yako basi. Dogo aachwe afanye anachotaka na wewe unayejiona una busara tumie busara na akili zako kuendesha maisha yako unavotaka. Hii nchi daily ni watu kudiscuss maisha ya wengine tu kuanzia maofisini, ndani y a familia, vijiweni hadi mitandaoni. Watanzania wengi kama hao ndio wanaosababisha watu wengi wasiokuwa strong kupata msongo wa mawazo kwa kuwazonga kila siku...Tuwe na heshima ya kuacha watu wapeleke maisha yao vile wapendavyo unless kama maisha ya mtu yakuumiza matako unashindwa kukaa🤔🤸‍♀️
 
Ndiyo ujinga wenyewe huo. Sheria haina jutokujuwa, angetafuta wanasheria kabla hajasaini mkataba.

Huyo masikini ya Mungu alikuwa haijuwi dunia na hajapata washauri wazuri, ni wakuhurumiwa tu.

Salama yake huyo kijana amuombe GSM tu kama ataweza, maana nasikia siku hizi kumuona GSM ni vigumu kuliko hata kumuona Rais wa nchi.

CAS huko hawahukumu kihuruma, hana kesi huyo.

Yanga waliwekeza kwa matumaini wavune faida, alikuwa hafahamu kama mpira ni biashara?

Huwezi kuwarudishia million 100 ya kusaini useme ndiyo umemalizana nao. Hapo ilitakiwa awalipe gharama zao zote na faida juu, kwa uchache nahisi kama 1b.

Ushirikina uliopo kwenye mpira anafikiri kuna huruna huko? Maawe.

Awaambie viongozi wa timu anayotaka kuhamia wa "negotiate" na viongozi wa Yanga. Simpo.
Kumbe hujui kitu kuhusu mpira sheria za FIFA na CAF haziendani na sheria za mitaani huku mahakamani kwetu, kama ulikua hujui basi ni kijuze

Hapo tu Fei alipo fikia ni adhabu tosha FIFA na CAF hawaruhusu mchezaji akae nje kwa miezi minne kwa migogoro ya kimkataba na mwajiri wake (timu yake)

Hivyo basi msishangae janja aka ruhusiwa kucheza timu nyingine huku kesi yake ikiendelea. Yanga tuta kuja kustaajabu tumeachiwa manyoya kwa sababu mpaka sasa ni miezi mitano inaenda Fei yupo nje ya uwanja.

Hii yote inasababishwa na Raisi wa timu kama alivyo sema Fei ni upuuzi kwa sababu huwezi kumlazimisha mtu aendelee kukutumikia wakati roho yake haipo hapo hataki tena, halafu kwenye mkataba wake kafuata vipengele vya kuvunja mkataba, lakini kwa kujiona tuna pesa na tupo juu ya sheria tunaamua kulazimisha haki iwe kwetu upuuzi na kupoteza muda.

The end of the day tuna kuja kulipishwa gharama ambazo hatukustahili ila kwa sababu ya mpuuzi mmoja basi ina kua mzigo wa timu.
 
Kumbe hujui kitu kuhusu mpira sheria za FIFA na CAF haziendani na sheria za mitaani huku mahakamani kwetu, kama ulikua hujui basi ni kijuze hapo tu Fei alipo fikia ni adhabu tosha FIFA na CAF hawaruhusu mchezaji akae nje kwa miezi minne kwa migogoro na ya kimkatabs na timu yake kwahiyo msishangae janja aka ruhusiwa kucheza timu nyingine huku kesi yake ikiendelea Yanga mta kuja kustaajabu mmeachiwa manyoya jwa sababu mpaka sasa ni miezi inaenda mi 5 Fei yupo nje ya uwanja.

Umecopy kwa mchambuzu nzala umekuja nalo moja kwa moja huku,
Inategemeana na makosa
Ivan Toney anakamba ya miezi 8
 
Umecopy kwa mchambuzu nzala umekuja nalo moja kwa moja huku,
Inategemeana na makosa
Ivan Toney anakamba ya miezi 8
Kwakua dishi lime yumba basi unaona wote wanao comemt ni hamnazo kama wewe NZALA . sijakopi popote katafute huyo mchambuzi nzala alie andika hivi halafu uje hapa unionyeshe.
 
Kwakua dishi lime yumba basi unaona wote wanao comemt ni hamnazo kama wewe NZALA . sijakopi popote katafute huyo mchambuzi nzala alie andika hivi halafu uje hapa unionyeshe.

IMG_7167.jpg

Haya mtoto wa Fikret bdo unawaza chai au unamtaka dada tulai
 
"Nilimtafuta GSM aje kutafuta suluhu lakini hakupokea simu zangu lakini aliposikia sakata Hili ndiyo akaanza kunitafuta na Mimi sikupokea simu yake"

Elimu ni muhimu sana...
 
Mpira wa bongo mgumu sana.

Huko kwa wenzetu ni unakuta mchezaji mambo ya nje ya uwanja wakala na wanasheria ndiyo wanadeal nayo yeye huku anaendelea kukipiga uwanjani.

Yeye atakuja kuongea siku anasaini mkataba au anaaga mashabiki. Wakitokea wachezaji kama huyu utaona tu kocha hampi namba, akileta dharau zaidi anapelekwa kucheza na under 20.

Juzi Messi aliondoka bila kuaga. Alivyorudi hakuanza kusema ananyanyaswa wanamchunga sana akaomba msamaha kwa klabu na mashabiki.

Caicedo ana uhakika 100% Arsenal imepeleka ofa ila Brighton wanakaza asitoke, hakutaka kuomba mkataba uvunjwe badala yake akaenda kuiomba timu imuachie.

Ila Bongo 😮‍💨😭

Na bado huu mpira una mashabiki unawakuta wanatukanana, na hawa mashabiki ndiyo wanaakisi wachezaji wenyewe sasa.
 
Mpira wa bongo mgumu sana.

Huko kwa wenzetu ni unakuta mchezaji mambo ya nje ya uwanja wakala na wanasheria ndiyo wanadeal nayo yeye huku anaendelea kukipiga uwanjani.

Yeye atakuja kuongea siku anasaini mkataba au anaaga mashabiki. Wakitokea wachezaji kama huyu utaona tu kocha hampi namba, akileta dharau zaidi anapelekwa kucheza na under 20.

Juzi Messi aliondoka bila kuaga. Alivyorudi hakuanza kusema ananyanyaswa wanamchunga sana akaomba msamaha kwa klabu na mashabiki.

Caicedo ana uhakika 100% Arsenal imepeleka ofa ila Brighton wanakaza asitoke, hakutaka kuomba mkataba uvunjwe badala yake akaenda kuiomba timu imuachie.

Ila Bongo [emoji50]‍[emoji100][emoji24]

Na bado huu mpira una mashabiki unawakuta wanatukanana, na hawa mashabiki ndiyo wanaakisi wachezaji wenyewe sasa.
Mkuu Castr upo sahihi sana.

Nchi za wenzetu ni uweledi wa hali ya juu.

Pia katika ishu kama hii hauwezi kuona mchezaji anaongea ongea ovyo na media badala yake management yake ndio inakuwa responsible.
 
Kwani kuna ajabu gani,siku zote mwanzo wa mapatano ni pale mahasimu wawili wanapokutana na kuzungumza tofauti zao.Feisal aliamini wanaenda kuzungumzia tofauti zao na pia kusikilizwa matakwa yake na si vinginevyo
Maelezo yako yamejaa assumptions! Ushabiki Maandazi unakutia upofu na kushindwa kuona upumbavu wa Feisal! Kwa mfano, eti anadai alimpigia GSM lakini GSM hakupokea simu. Kwavile hakupokea basi na yeye hakupokea pale GSM alivyompigia! Hivi kama sio upumbavu tuite nini?! Alifahamu ni kwanini GSM hakupokea hadi na yeye agome kupokea?! Hata akina sie tusio na mambo mengi mara nyingi tu huwa tunashindwa kupokea simu halafu ije kuwa mtu kama GSM? Endeleeni kumjaza ujinga, na ndo maana anajiona very special to the point anaamini GSM should immediately pick up the phone pale Feisal akipiga! Ni upumbavu ulioje!!
 
Back
Top Bottom