Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Mara zote mchezaji anapoondoka yanga kihuni na kwa ngebe na kebehi nyingi uwa mwisho wake ni mbaya sana, Tunarejea habari za wakina Frank Domayo, Gadiel Michael, Ibrahim Ajibu, na wengine kilichowakuta wanakijua mpaka sasa wamepotea kwenye ramani ya soka.
Kwa maana iyo waombe msamaha wanachama na mashabiki wa yanga kwa maneno ya ovyo uliyokuwa unayatoa vinginevyo kamati ya ufundi aitokuacha salama!
Kwa maana iyo waombe msamaha wanachama na mashabiki wa yanga kwa maneno ya ovyo uliyokuwa unayatoa vinginevyo kamati ya ufundi aitokuacha salama!