Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Anachukua 14M per month.22M × 12Months = 264M
264M × 3yrs =
Sasa wewe endelea na ufundi wako na kumnanga huku kwa keyboard ila tayari amekunja mpunga wa kutosha ambao wewe na familia yako yote hamtakaa muushike mpaka kifo.