Sio kweli kua termination fee inalingana na transfer fee,Yanga SC hawana shida ya kuvunja mkaataba naye.
Swali ni Je! Gharama za kuvunja mkataba ataziweza?
Hapo sasa ndipo hofu ilipo.
Ninavyojua contract termination fee = Transfer fee ya mchezaji.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli kua termination fee inalingana na transfer fee,Yanga SC hawana shida ya kuvunja mkaataba naye.
Swali ni Je! Gharama za kuvunja mkataba ataziweza?
Hapo sasa ndipo hofu ilipo.
Ninavyojua contract termination fee = Transfer fee ya mchezaji.
Yanga hawana uwezo huo wa kujipangia hela ya kuvunja mkataba kwa sasa,kwa sababu hela ya kuvunja mkataba inapangwa mwanzoni kabisa mkataba ukiwa unasainiwa na sio mwishoni.Utaangaliwa pia sio kujipangia tu.
Uzuri kwenye mkataba kuna vipengele hivyo, issue si ilikuwa Fei amejiamulia. Sasa maombi yameletwa rasmi.
Tunawasubiria mpuyangr na Tff, wameshawekewa mtego.
Yanga waweke 1bln kuvunja mkataba, ndo akili za uto hizo.
Hakuna anaye taka Feisal arudi.Huyo kurudi ngumu sababu tayari ametengeneza uhasama na viongozi Cha msingi hapa namna ya kuvunja mkataba shida hataki kwenda sehemu husika Ili wazungumze auvunje wanataka kuvunja kwa social media sijui
Unapo peleka offer ya kumnunua mchezaji fulani kimsingi ile offer inalenga kuvunja mkataba alio nao hivi sasa na klabu yake ili awe huru kujiunga na klabu anayo tarajia kuitumikia.Sio kweli kua termination fee inalingana na transfer fee,
Kesi ya athuman iddi chuji, kelvin yondani, mbuyu twite, na ramadhan kessy hizi kesi zote ni za kimkataba na Yanga walishinda, nadhani hiki kipindi ulikua bado hujaanza kushabikia mpiraLete kesi moja yanga waliyoshinda yoyote nakusubiria unadhani aliyesema wenye akili ni wawili alikosea aliongea vile kwa kujua kabisa utopolo walivyo.
Kwa hiyo nani anapanga hela hiyo?Yanga hawana uwezo huo wa kujipangia hela ya kuvunja mkataba kwa sasa,kwa sababu hela ya kuvunja mkataba inapangwa mwanzoni kabisa mkataba ukiwa unasainiwa na sio mwishoni.
Sio bure kuondoka kihuni kwanza ni dharau kwa club kuruhusu kitu kama hichoHakuna anaye taka Feisal arudi.
Hakuna anaye taka Feisal arudi.
Sisi sote tunataka aondoke hukooo alikoahidiwa mshahara mkubwa.
Ila HAWEZI KUONDOKA BURE wakati bado ana mkataba.
Aidha asubiri mkataba wake uishe au timu inayo muhitaji imsaidie kulipa ada ya uhamisho.
Anayeamua ela ya kuvunja mkataba ni timu inayommiliki mchezaji na sio TFFKwa hiyo nani anapanga hela hiyo?
TFF?
au
Mchezaji?
Kumbuka mchezaji alikwisha jipangia pesa ya kuvunja(kununua) mkataba wake hapo awali, na TFF iyo iyo ikaamua kuwa hilo jambo halikuwa sahihi.
Mtu anakuambia Yanga hajawah shinda kesi yeyoye ya kimkataba jamaa nimemdharau sanaAsije akawa ni dogo wa 92.... 😁 😁
Kua mkataba unavunjwa tu kama kuvunja naziNgoja Dogo awapelekee pumzi ya moto, mlidhani mmemkomesha? Sasa anakuja anataka kuvunja huo mkataba, kataeni tena
arudi asirudi alete 500mYanga wanamtega fei au wanamtaka arudi kikosini?
Wanachekesha sana makoloKavunje wa Manzoki kwanza tuone mfano
Hapana sio kweli,fanya research yako vizuri,usiende kwenye hitimisho kwa maoni/mawazo yako wewe,Unapo peleka offer ya kumnunua mchezaji fulani kimsingi ile offer inalenga kuvunja mkataba alio nao hivi sasa na klabu yake ili awe huru kujiunga na klabu anayo tarajia kuitumikia.
Thus Transfer fee = Contract termination fee.
Mkipata nyingi ni 150M,arudi asirudi alete 500m
kesi ya msuva inafanana vipi na ya fei? msuvaalikuwa halipwi mshahara wakati fei analipwa na yeye ndio kakimbia na mshahara wa watu. Igeuze msuva ndio yanga, fei ndio waydAdHumjui jasmine ww kakojoe ukalale kaangalie kwanza alivyoshinda kesi ya msuva alitumia kipengele cha lugha tu na msuva akawa huru na akalipwa mabilion ya hela.
Kuna sehemu Yanga wamesema wanataka 500?arudi asirudi alete 500m
Aisee hili nalo jipyaKwa hiyo nani anapanga hela hiyo?
TFF?
au
Mchezaji?
Kumbuka mchezaji alikwisha jipangia pesa ya kuvunja(kununua) mkataba wake hapo awali, na TFF iyo iyo ikaamua kuwa hilo jambo halikuwa sahihi.
Umeongea vema MkuuHaya ndiyo ha WCB na Harmonize! Unachukuliwa huko huna mbele wa nyuma, unakaa sehemu unapikwa kwa miaka 4, mwaka wa 5 unaanza kuwaka ila kufika mwaka 6 wa utumishi wako unapata chawa anakuambia pale hapakifai njoo huku! Huwazi hiyo miaka 4 ukiyopikwa, unavaa, unakula, unalipwa posho na vitu kibao kwamba vinahitajika kufidiwa! We unaamka tu mi nataka kutoka! Aisee! Embu rudisha ghalama zetu hakuna shortcut pale zaidi yanga lazima wakae then Yanga waseme kwakuwa anavunja mkataba kwa mapenz yake basi atulipe Million 500!.