Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 384
- 970
Hili sakata la Feitoto nadhani sasa lifike mwisho maana linazunguka hapo hapo kila siku na Fei anajifanya kichwa ngumu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubaya ni kwamba, kuna siku ataanza kulalama kuwa amerogwaDuh huyo kijana mshauri wake hakumtendea haki
Ndiko hali inavyooenesha mwelekeo kwa huyu dogo.😆Ubaya ni kwamba, kuna siku ataanza kulalama kuwa amerogwa
I hope you meant it to be Ego and not EAGLEEAGLE inamponza kijana!
Rekebisha kidogo mkuuEAGLE inamponza kijana!
Naona wanasheria wake pumzi zimekata kitambo. Badala yake mnaanza sasa kutaka kumtafuta mchawi! Kumbe nyingi wapambe wake ndiyo wachawi namba moja.TFF NA CCM NI NDUGU
Dogo wamuangalie kwa karibu huyo. Atakunywa sumu ili ajiueKwa hapa ilipo fikia kijana anatakiwa atumie busara ya kawaida tu, akubali kurudi Yanga.
Baada ya hapo, akaongeze bidii na ajinoe vya kutosha ili akafanye maajabu. Maana muda uliobaki ni mchache na pengine hii inaenda kumpa nafasi ya kutazamwa kwa umakini hata kwa tum za nje.
Kijana anatakiwa sasa akalitangaze jina lake kwa kufanya maajabu, na atakua amejipaisha zaidi kisoko, kisoka na uthamani.
Alafu badaye unafunguliwa keshi umelipwa pesa haujafanya kazi,Mi ningetafuta sehemu nikae nitulie maana mshahara wananilipa
Ndo watajijua mi mishajitoa kwaoAlafu badaye unafunguliwa keshi umelipwa pesa haujafanya kazi,