Feitoto hana tena mahaba ya kuendelea kucheza Yanga

huwa nashindwaga kuelewa kama mchezaji hakutaki unamng'ang'ania wa nn maana hata ukibaki nae hawezi cheza kama alivyokua mwanzo utakuwa unamlipa mshahara wa bure si bora uchukue uo mpunga umwache asepe
Mpunga gani unaousemea? Kwan Azam au timu nyingine inayomtaka wamepeleka ofa kwa Yanga?
 
Tusubiri kila kitu kitajulikana ila dogo apewe adhabu kali sana iwe fundisho.
 
SIMBA TUMEAMKA DUBAI
YANGA WAMEAMKIA MANZESE UWANJA WA FISI[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
huwa nashindwaga kuelewa kama mchezaji hakutaki unamng'ang'ania wa nn maana hata ukibaki nae hawezi cheza kama alivyokua mwanzo utakuwa unamlipa mshahara wa bure si bora uchukue uo mpunga umwache asepe
Kwa ajili yako undhani yanga inamtaka mchezaji?
Hapa Fei ni kama demu anaye Fanya vurugu kwa mume baada ya kupata bwana mpya.
Anachotakiwa ni kufuata taratibu za kuomba talaka siyo kutoroka kwa mume.


Sent from my Redmi Note 8 Pro using JamiiForums mobile app
 
Hapo atakaa tu mpaka mwakani mkataba unaisha anaondoka huku mnamlipa.
Ninachoshangaa kwa mashabiki wa Yanga ni kuwa timu yao ikiachwa ni kama laana. [emoji28]
 
Kwaiyo kamati ingeangalia mahaba ya mchezaji na sio sheria na mkataba wake🤣🤣🤣
Hakuna cha sheria wala nini

Hakuna duniani anayezuiwa kuacha kazi

Kazi siyo kifungo

Hata ndoa zinavunjwa

Tuache ubwege
 
Hapo atakaa tu mpaka mwakani mkataba unaisha anaondoka huku mnamlipa.
Ninachoshangaa kwa mashabiki wa Yanga ni kuwa timu yao ikiachwa ni kama laana. [emoji28]
Ataondoka tu

Tuache human slavery

CR7 left manure ijekua dogo wa taarab na timu ya wamatumbi?
 
nisawa una saini simba sc leo,kesho unaamka una mahaba kwenda geita gold,upuuzi.
 
Una uhakika hatokata rufaa? Kwanini usisubiri Jumatatu hukumu ikishatoka ndiyo uhoji haya.
🤣🤣🤣 Hukumu inatoka mara ngapi mzee, hukumu ishatoka kinachofanyika jumatatu ni ufafanuzi wa kisheria kilichopelekea kuhalalishwa kwa mkataba wake na waajiri wake na si vinginevyo, mtaambiwa ni vifungu vipi vya mkataba vinavyombana asifanye icho alichokifanya, kwaiyo kama anaenda CAS na ajiandae kwenda akishapata nakala yake ya hukumu
 
Hakuna cha sheria wala nini

Hakuna duniani anayezuiwa kuacha kazi

Kazi siyo kifungo

Hata ndoa zinavunjwa

Tuache ubwege
Ni tofauti na unavyofikiria wewe na akili zako, Tofautisha mambo ya kisheria na mambo ya kihuni ni vitu viwili tofauti, unachokisema apo ndio kimemkost na akiendelea kushupaza shingo itakula kwake mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…