Feitoto hana tena mahaba ya kuendelea kucheza Yanga

Sasa maelezo mengi ya nini wakati umeandika kile kile nilichokisema kwa sentensi chache?
 
Nimeongelea upande wa mchezaji.Hizo za Club kama zipo nitafurahi ukitujuza pia ndiyo tunaongeza ufahamu pia.
Yaani unazijua za mchezaji ila za club huzijui, wakati contract ni mutual agreement kati ya club na mchezaji.
 
We jamaa utakuwa ni mwanasharia km sio basi nakushauri ukasomeee.Umetisha sana.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Sijui hata cha kukujibu
Utajibu nini sasa na wakati unajichanganya mwenyewe, labda nikusaidie jibu ni kwamba mchezaji ni mali ya klabu ya yanga kwa mujibu wa mkataba wake halali aliosaini akiwa na akili timamu, kwa maana iyo Yanga ndio wenye mamlaka na mchezaji mpaka sasa iwe kumuuza ama kutokumuuza full stop
 
huwa nashindwaga kuelewa kama mchezaji hakutaki unamng'ang'ania wa nn maana hata ukibaki nae hawezi cheza kama alivyokua mwanzo utakuwa unamlipa mshahara wa bure si bora uchukue uo mpunga umwache asepe
Kwa hapa bongo iyo club siyo mara yao ya kwanza wana mambo fulani yakizamani kidogo.
 
Mkuu pale simba hakunaga mikataba . ndo maana kuingia na kutoka ni faster tu . manara amefanya kazi pale bila mkataba .
Kocha wenu wa makipa amekamatwa na ngada mkamkana mapema kuwa hakuwa na mkataba 😀😀😀.
Mgunda .
Matola .
Ahmed ally 😀😀😀 hao wote ni vibarua hapo .
 
Vimbaaaa mwanaichi 😆 😆
Kumbe ndo kijani na njano ilipoanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…