Wachukue mpunga upi labda? Kwani wanaomtaka washatuma ofa yao? Au unasemea mpunga upi? Tunachojua hao wahuni waliomuingiza chaka washaogopa ata kunusa pua zao pale jangwani kwakuwa washachafua hali ya hewa wanajua ata wakienda awatouziwa uyo feisal labda klabu toka nje ya nchi ndio imnunue na sio wahuni wahuni waliomvuruga kijana
Shida wote comments za kishabiki. Hata huko CAS nani anajua maamuzi yao yatakuwaje?Ngoja aende cas,muone mtaambulia nini?
We unafikiri mchezaji analipwa tu hela hata asipotokea mazoezini?
Anaweza akawalipa yeye yanga.
Atangulie CAS ata leo hii, kesi za kitoto kama hizi ndio za mawakili kupigia mpunga pindi wakimkuta mteja ajielewiNgoja aende cas,muone mtaambulia nini?
Case yenu pendwa ya Morrison ilibatilishwa CAS?Ngoja aende cas,muone mtaambulia nini?
Na sisi Yanga sc tunasema hatuna kabisa mahaba naye, nadhani ujumbe wa salamu zetu anao.Wakili Nduruma Majembe amebainisha msimamo wa mchezaji Faisal Salum juu ya sakata lake na waajiri wake, Yanga SC na kueleza kuwa nyota huyo hana tena mahaba ya kurudi na kuendelea kuitumikia klabu hiyo.
Feitoto alihojiwa na wajumbe wa kamati aliweka dhahiri kwamba hakuna uwezekano na hawezi tena kurudi kuichezea ile klabu.
βMchezaji ameshasema hana mahaba na timu na hawezi kuitumikia" Nduruma Majembe wakili wa feitoto akizungumza kupitia #tbctaifa
Majembe ameongeza kuwa Uamuzi wa Kamati kutoa hukumu kuwa Feitoto arejee kuendelea kuitumikia klabu hiyo ni kitu kigumu kwa Feitoto na kubainisha kwamba labda kama atapatiwa msaada wa kisaikolojia wa kumuwezesha kutamani kurudi.
#KitengeSports
Hata mimi nimesikia huyo Wakili, nadhani huyo ni "Bush Lawyer"huyo wakili nimemsikia ni wazi kabisa anampotosha mteja wake,kwanza kasema amepokea uamuzi kwa taharuki,very unprofessional kabisa kutumia neno hilo kuelezea hukumu,pili anafanya kama kulaumu kwa kamati kutoa sumnary ya hukumu,kitu ambacho ni kawaida kabisa,tatu anasema anashangaa kwa kamati kuamua fei arudi yanga kwani yeye hana mapenzi na yanga,fei ni mchezaji wa yanga na kama hana tena mapenzi na yanga afuate utaratibu kuuvunja mkataba na hivyo ndio wakili wake anapashwa kumuelekeza sio kumpotosha
Matutusa hawawezi kukujibu. Haya matutusa SC Feisal Ana mahaba nanyi case closedVipi kama ingetokea Yanga ikawa haimuhitaji huyo Fei Toto! Wangekuwa sahihi kumuwekea hela kwenye akaunti yake ya benki, halafu viongozi wakajitokeza hadharani na kusema wamevunja mkataba na huyo mchezaji! kwa kumwekea hela yake kwenye akaunti, kisa tu hawana mahaba naye; hata kama anahitajika bado kwenye timu?
Au wangekaa mezani na kufikia muafaka wa pande mbili, wa kusitisha huo mkataba wao walioingia kwa pamoja?
Naomba majibu tafadhali.
Mmebebeshwa Ngada a.k.a Sembe, tusubiri mkirudi tuone Kama hamjagongwa. Kanjibahi anawachezea tuSIMBA TUMEAMKA DUBAI
YANGA WAMEAMKIA MANZESE UWANJA WA FISI[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Bwege mwenyewe kabla sijasahau.Hakuna cha sheria wala nini
Hakuna duniani anayezuiwa kuacha kazi
Kazi siyo kifungo
Hata ndoa zinavunjwa
Tuache ubwege
Kwenye timu yetu hatuna wazee wa misumari kama kule kwenu.Au kuna mtu kikosini kamloga?.
Ukiacha ubwege unaweza kutoboa ππBwege mwenyewe kabla sijasahau.
Utopolo ndo wanamngangania FeiKama mwanadamu aibu nilazima iwepo na pia ukitama ile video ya mashabiki wa Yanga baada ya Mechi ya Azam waki imba kama hamtaki fei...
Huja kaa sawa una sikia kauli kutoka kwa mashabiki zikisema Fei ana ihujumu timu..
Unarudi unaona kwenye timu wachezaji wenzio walivyo lichukulia swala lako wanaona nikama unataka kuivuruga Yanga
Nikitudi namuelewa sana FEI akisema harudi
Nikweli ana hitaji mtu wa kumpa msaada wa kisaikolojia Zaidi..ili aweze kurudi uwanjani.....!!!!
La sivyo asipo kuwa makini kuchukua maamuzi sahihi hili swara lita mwaribu yeye na sio club..Afanye maamuzi muda huu
Yanga ndo mahuni yaliwalagai kina yondaniWachukue mpunga upi labda? Kwani wanaomtaka washatuma ofa yao? Au unasemea mpunga upi? Tunachojua hao wahuni waliomuingiza chaka washaogopa ata kunusa pua zao pale jangwani kwakuwa washachafua hali ya hewa wanajua ata wakienda awatouziwa uyo feisal labda klabu toka nje ya nchi ndio imnunue na sio wahuni wahuni waliomvuruga kijana
Mimi nilishatoboa kitambo, nakushangaa wewe kula kulala kwa shemejio, siku dadako akitolewa nduki nawe pia unaunga tela Kama si ubwege Ni Mimi hicho.Ukiacha ubwege unaweza kutoboa ππ
Weee bora unyamaze..dogo kashatolewa akili π πKwenye timu yetu hatuna wazee wa misumari kama kule kwenu.
Hana mahaba ila ana mkataba. Tuache hoja zisizo mashiko, mikia wamegeuka wasemaji wa Feisal. Mchezaji hachezi kwa mahaba bali mkataba, tusiwe taifa la mambumbumbu. Tanzania inahitaji elimu, elimu, elimu.Wakili Nduruma Majembe amebainisha msimamo wa mchezaji Faisal Salum juu ya sakata lake na waajiri wake, Yanga SC na kueleza kuwa nyota huyo hana tena mahaba ya kurudi na kuendelea kuitumikia klabu hiyo.
Feitoto alihojiwa na wajumbe wa kamati aliweka dhahiri kwamba hakuna uwezekano na hawezi tena kurudi kuichezea ile klabu.
βMchezaji ameshasema hana mahaba na timu na hawezi kuitumikia" Nduruma Majembe wakili wa feitoto akizungumza kupitia #tbctaifa
Majembe ameongeza kuwa Uamuzi wa Kamati kutoa hukumu kuwa Feitoto arejee kuendelea kuitumikia klabu hiyo ni kitu kigumu kwa Feitoto na kubainisha kwamba labda kama atapatiwa msaada wa kisaikolojia wa kumuwezesha kutamani kurudi.
#KitengeSports
Yeah .... Ila probability kubwa ni kuwa unaweza kusaini mkataba ukasepa kwenu na mshahara ukawa unaingia?Inategemea Na mkataba na makubaliano mkuu