GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani Wewe badala ya Kufanya Kazi (Kucheza Mpira wa Nguvu) ili uisaidie Azam FC yako Wewe kila mara uko busy Kuchekeana (Kukenua Mimeno yako mibovu) na Wachezaji wa Yanga SC akina Aucho, Mudathir, Job na Mwamnyeto.
Ndiyo maana hata sijashangaa baada ya Mechi Kumalizika na Kufungwa kwa Uzembe wa Kipa Wenu na CEO Wenu Popat Kuuza ramani ya Vita kwa Yanga SC anayoipenda Wachezaji Wenzako wote wakiongozwa na Amoah walikuwa Wameumia (hata ukiwaangalia tu Machoni) unawaona Wewe ulikuwa busy kwenda lilipo Benchi la Ufundi la Yanga SC na Kuanza Kufurahi nao hadi Kupiga Picha nao.
Kumbe ndiyo maana Kiongozi Mmoja wa Yanga SC ( Mtoto wa Mjini ) ulipokuwa Yanga SC huko alikufanyia Mambo ya Kimjini Mjini hadi ukatokea Kumchukia na Mimi GENTAMYCINE namuunga mkono kwa Usela aliokufanyia ambao unapelekea kila Ukiulizwa kakufanya nini Unaogopa Kujibu na unabaki Kulia tu.
Hovyo kabisa Wewe Kijana. Umenikera leo kuliko hata ambavyo Walio nchini Misri Kukamilisha Ratiba ya AFL kwa Mwarabu watakavyonikera.