Feitoto kama unataka kurejea Yanga SC rejea tu

Yaani Wewe badala ya Kufanya Kazi (Kucheza Mpira wa Nguvu) ili uisaidie Azam FC yako Wewe kila mara uko busy Kuchekeana (Kukenua Mimeno yako mibovu) na Wachezaji wa Yanga SC akina Aucho, Mudathir, Job na Mwamnyeto.

Ndiyo maana hata sijashangaa baada ya Mechi Kumalizika na Kufungwa kwa Uzembe wa Kipa Wenu na CEO Wenu Popat Kuuza ramani ya Vita kwa Yanga SC anayoipenda Wachezaji Wenzako wote wakiongozwa na Amoah walikuwa Wameumia (hata ukiwaangalia tu Machoni) unawaona Wewe ulikuwa busy kwenda lilipo Benchi la Ufundi la Yanga SC na Kuanza Kufurahi nao hadi Kupiga Picha nao.

Kumbe ndiyo maana Kiongozi Mmoja wa Yanga SC ( Mtoto wa Mjini ) ulipokuwa Yanga SC huko alikufanyia Mambo ya Kimjini Mjini hadi ukatokea Kumchukia na Mimi GENTAMYCINE namuunga mkono kwa Usela aliokufanyia ambao unapelekea kila Ukiulizwa kakufanya nini Unaogopa Kujibu na unabaki Kulia tu.

Hovyo kabisa Wewe Kijana. Umenikera leo kuliko hata ambavyo Walio nchini Misri Kukamilisha Ratiba ya AFL kwa Mwarabu watakavyonikera.
Mental case.
 
Popoma kama Popoma.
 
TMA tokea Mwezi April, 2023 Wslitabiri kuwepo kwa Mvua Kubwa ya El Nino kuanzia tarehe 1 Oktoba hadi tarehe 13 Oktoba, 2023 je, mpaka leo tarehe 23 Oktoba, 2023 imeshanyesha? Mbona hamuwashushui TMA na hamuwaabii kuwa ni Waongo na Watabiri Feki? Hamna Akili...!!
Mvua mbona imenyesha matakoni kwako huko?
 
Yaani Wewe badala ya Kufanya Kazi (Kucheza Mpira wa Nguvu) ili uisaidie Azam FC yako Wewe kila mara uko busy Kuchekeana (Kukenua Mimeno yako mibovu) na Wachezaji wa Yanga SC akina Aucho, Mudathir, Job na Mwamnyeto.

Ndiyo maana hata sijashangaa baada ya Mechi Kumalizika na Kufungwa kwa Uzembe wa Kipa Wenu na CEO Wenu Popat Kuuza ramani ya Vita kwa Yanga SC anayoipenda Wachezaji Wenzako wote wakiongozwa na Amoah walikuwa Wameumia (hata ukiwaangalia tu Machoni) unawaona Wewe ulikuwa busy kwenda lilipo Benchi la Ufundi la Yanga SC na Kuanza Kufurahi nao hadi Kupiga Picha nao.

Kumbe ndiyo maana Kiongozi Mmoja wa Yanga SC ( Mtoto wa Mjini ) ulipokuwa Yanga SC huko alikufanyia Mambo ya Kimjini Mjini hadi ukatokea Kumchukia na Mimi GENTAMYCINE namuunga mkono kwa Usela aliokufanyia ambao unapelekea kila Ukiulizwa kakufanya nini Unaogopa Kujibu na unabaki Kulia tu.

Hovyo kabisa Wewe Kijana. Umenikera leo kuliko hata ambavyo Walio nchini Misri Kukamilisha Ratiba ya AFL kwa Mwarabu watakavyonikera.
Napitiaga post zako,huwa unaanidka uharo mtupu,
 
CHIZI WA JF ANAENDELEA.

"75% Yanga SC inafungwa leo na 25% wataibahatisha Sare kwa Azam FC. Kuna Mambo yamefanyika ( Nje ya Uwanja ) na yamewashinda Wataalam Watatu wa Yanga SC na hata baadhi ya Viongozi Wao wameshajua kuwa leo ( hasa Jumatatu ) Kinujumu ( Kinyota na Kitarehe ) si Siku nzuri Kwao Kimatokeo".
 
Azam ni timu nyepesi sana kwa vilabu vya Kariakoo, hadi sasa kocha wao anajisifia kuwa walishindwa kulinda ushindi wa 2-1 wakati goli lao la kwanza ni offside tupu...

Jamaa huwa wanajiona wana jina kubwa, ila wakiwa uwanjani na timu za Kariakoo wanaogopa kinoma kucheza mpira...

Na jana Yanga wangecheza kama kawaida yao, nahisi Azam angepigwa nyingi...
 
Yaani Wewe badala ya Kufanya Kazi (Kucheza Mpira wa Nguvu) ili uisaidie Azam FC yako Wewe kila mara uko busy Kuchekeana (Kukenua Mimeno yako mibovu) na Wachezaji wa Yanga SC akina Aucho, Mudathir, Job na Mwamnyeto.

Ndiyo maana hata sijashangaa baada ya Mechi Kumalizika na Kufungwa kwa Uzembe wa Kipa Wenu na CEO Wenu Popat Kuuza ramani ya Vita kwa Yanga SC anayoipenda Wachezaji Wenzako wote wakiongozwa na Amoah walikuwa Wameumia (hata ukiwaangalia tu Machoni) unawaona Wewe ulikuwa busy kwenda lilipo Benchi la Ufundi la Yanga SC na Kuanza Kufurahi nao hadi Kupiga Picha nao.

Kumbe ndiyo maana Kiongozi Mmoja wa Yanga SC ( Mtoto wa Mjini ) ulipokuwa Yanga SC huko alikufanyia Mambo ya Kimjini Mjini hadi ukatokea Kumchukia na Mimi GENTAMYCINE namuunga mkono kwa Usela aliokufanyia ambao unapelekea kila Ukiulizwa kakufanya nini Unaogopa Kujibu na unabaki Kulia tu.

Hovyo kabisa Wewe Kijana. Umenikera leo kuliko hata ambavyo Walio nchini Misri Kukamilisha Ratiba ya AFL kwa Mwarabu watakavyonikera.
kupelekea sio kusabanisha,kupelekea inatokana na kitenzi peleka yaani kutoa kitu mahali fulani na kukipeleka sehemu nyingine,hivyo haiwezi kutumika kwa kumaanisha kusabanisha,ama kuhusu fei ni mjinga sana huyo kijana
 
Acha kupoteza muda Kunifundisha Kiswahili chako ambacho mpaka leo wala hakijakusaidia Kuondoa Umasikini mkubwa Ulionao na Upumbavu unaokukabili sawa?
 
WATANZANIA WENGI ni wapumbavu.

Wanapenda kufuatilia Mambo ya kipumbavu.

UKIONA Nyuzi zako zinafuatiliwa sana Ujue UNAANDIKA sana UPUMBAVU.

WENGINE Huwa tunakuja kusahihisha UJINGA NA UPUMBAVU.

USIJE UKAAMBUKIZA KUNDI KUBWA ZAIDI
 
ANAANDIKA TUKANA UONE.

Ikiwa hutaki tuchangie nenda kaandike sebuleni kwenu ili ndugu zako wakenue meno na kufurahia ujuha wako,lakini kwa hapa jukwaani tu utaula wa chuya!.

Hapa tutakukaanga,tutakupakua na utaliwa utake usitake

"TUKANA UONE"
 
CHIZI WA JF ANAENDELEA.

"75% Yanga SC inafungwa leo na 25% wataibahatisha Sare kwa Azam FC. Kuna Mambo yamefanyika ( Nje ya Uwanja ) na yamewashinda Wataalam Watatu wa Yanga SC na hata baadhi ya Viongozi Wao wameshajua kuwa leo ( hasa Jumatatu ) Kinujumu ( Kinyota na Kitarehe ) si Siku nzuri Kwao Kimatokeo".
Piga spana mkuu,ipige spana hiyo Ng'ombeeeee!
 
Back
Top Bottom