CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Piga spana mkuu,ipige spana hiyo Ng'ombeeeee!
Hilo Ng'0mbe hata uliite Ng'0mbe na Bado litaendelea kushangilia tu........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Piga spana mkuu,ipige spana hiyo Ng'ombeeeee!
Aahaaaaa,subiri niitafute ile video ya JotiPiga spana mkuu,ipige spana hiyo Ng'ombeeeee!
Yaani Wewe badala ya Kufanya Kazi (Kucheza Mpira wa Nguvu) ili uisaidie Azam FC yako Wewe kila mara uko busy Kuchekeana (Kukenua Mimeno yako mibovu) na Wachezaji wa Yanga SC akina Aucho, Mudathir, Job na Mwamnyeto.
Ndiyo maana hata sijashangaa baada ya Mechi Kumalizika na Kufungwa kwa Uzembe wa Kipa Wenu na CEO Wenu Popat Kuuza ramani ya Vita kwa Yanga SC anayoipenda Wachezaji Wenzako wote wakiongozwa na Amoah walikuwa Wameumia (hata ukiwaangalia tu Machoni) unawaona Wewe ulikuwa busy kwenda lilipo Benchi la Ufundi la Yanga SC na Kuanza Kufurahi nao hadi Kupiga Picha nao.
Kumbe ndiyo maana Kiongozi Mmoja wa Yanga SC ( Mtoto wa Mjini ) ulipokuwa Yanga SC huko alikufanyia Mambo ya Kimjini Mjini hadi ukatokea Kumchukia na Mimi GENTAMYCINE namuunga mkono kwa Usela aliokufanyia ambao unapelekea kila Ukiulizwa kakufanya nini Unaogopa Kujibu na unabaki Kulia tu.
Hovyo kabisa Wewe Kijana. Umenikera leo kuliko hata ambavyo Walio nchini Misri Kukamilisha Ratiba ya AFL kwa Mwarabu watakavyonikera.
Mke wangu si ndiyo Wewe? au hunitaki tena?
huyo dogo sio wa kumpokea hata akiwa na kiwango kizuri namna gani, ni fedheha kuwa naye, hana adabu na hana future ya mpira.Yaani Wewe badala ya Kufanya Kazi (Kucheza Mpira wa Nguvu) ili uisaidie Azam FC yako Wewe kila mara uko busy Kuchekeana (Kukenua Mimeno yako mibovu) na Wachezaji wa Yanga SC akina Aucho, Mudathir, Job na Mwamnyeto.