Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Huyu naye ni walewaleKatibu mkuu wizara ya Nishati ndg. Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa.
Amesema bwawa hilo ni kubwa sana hivyo usalama wake unapaswa kuzingatiwa ktk hatua zote za ujenzi wake.
Ametolea mfano kuwa mabwawa ya Mtera, Kidatu na Kihansi ambayo ukubwa wake kila moja ni madogo mara kumi ya lile la Nyerere yalijegwa kwa miaka 5 kila moja.
Ameongeza kuwa bwawa la Nyumba ya Mungu lilijengwa kwa zaidi ya miaka 5.
Source: ITV (Kipindi Maalum).
View attachment 2244046
Vijana wa JK wote wamerudishwa hivyo ngoja nchi itafunwe vizuriHuyu ni Katibu Mkuu wa Wizara husika.
Maana ya lugha hiyo ni kuwaandaa watu wakubali mipango ya kifisadi inayoandaliwa kwenye wizara hiyo.
Kesho utasikia habari za mipango ya dharura inayohitajika kufanywa ili nchi isiwe gizani.
Hawa watu ni wapuuzi sana, wanafikiri waTanzania ni wajinga.
Kabla ya ujenzi kuanza, mkandarasi na wataalam huko Tanesco hawakujua kuwa itahitaji muda mrefu kukamilisha ujenzi huo? Hii miradi inafanywa tu kwa kubahatisha bila ya kuwa na upambanuzi juu yake kuhusu muda utakaohitajika kuikamilisha?
Hayo mabwawa anayotolea mifano yake, yalijengwa kwa muda huo wakitumia teknologia gani? Leo hii hapajakuwepo na maendeleo/mabadiliko yoyote katika ujenzi wa mabawa haya?
Huku kuwadharau waTanzania kiasi hiki kunatokana hasa na nini?
Hawa watu inatakiwa kuwatafutia njia za kuwatia adabu, kwa sababu sasa wamevuka mipaka kabisa katika kuwaona waTanzania kuwa mabwege.
Upo sahihi tatizo lake alikuwa ni mpenda sifa za hovyo lakini nia yake ilikuwa ni njema snYule boss wa awamu ya 5 alikuwa na nia njema lakini uwezo wake wa kupangilia mambo ulikuwa mdogo Sana. Aliendeshwa na mihemko ya kutaka sifa.
Huwezi kuanzisha miradi mingi ya matrilioni kwa wakati mmoja. Hii ndiyo hasara yake sasa
Kwani wewe hupendi bwawa likamilike kwasababu ya mwanzilishi au halina faida baada ya kukamilika?Anawaandaa mataga kisaikolojia maana hao ndio wa kwanza kupiga kelele itakapoisha miaka 10 halijaisha.
Sifa kwa maslahi mapana ya nchi.Upo sahihi tatizo lake alikuwa ni mpenda sifa za hovyo lakini nia yake ilikuwa ni njema sn
Matokeo yake miradi yote imekufaSifa kwa maslahi mapana ya nchi.
Kwenda kustarehe Ulaya na kuanzisha miradi mikubwa kwa nchi, yupi mpenda sifa?.
Alijua ana muda mchache wa kuishi hivyo akagusa kila pahala kwa maslahi ya nchi.
Hakujua ana muda muchache ila alitamani kuona Tanzania yenye mafanikio , mutu yeyote mwenye familia anajua namna Gani au njia Gani amezitumia kuhakikisha ustawi wa familia yake kama Kuna rough ezicheza halafu upo hapa kumunanga hayati hongera kwakoSifa kwa maslahi mapana ya nchi.
Kwenda kustarehe Ulaya na kuanzisha miradi mikubwa kwa nchi, yupi mpenda sifa?.
Alijua ana muda mchache wa kuishi hivyo akagusa kila pahala kwa maslahi ya nchi.
Sasa huoni ni hatari kuharakisha bila sababu za msingi?Umemuelewa vibaya. Alimaanisha kuwa litakamilika ndani ya muda mfupi kwa sababu serikali inaona umuhimu wa kuuharakisha mradi, lakini kama ingekuwa kufanya kwa utaratibu kama wa mabwawa mengine basi ingechukua muda mrefu
Huyu ni Katibu Mkuu wa Wizara husika.
Maana ya lugha hiyo ni kuwaandaa watu wakubali mipango ya kifisadi inayoandaliwa kwenye wizara hiyo.
Kesho utasikia habari za mipango ya dharura inayohitajika kufanywa ili nchi isiwe gizani.
Hawa watu ni wapuuzi sana, wanafikiri waTanzania ni wajinga.
Kabla ya ujenzi kuanza, mkandarasi na wataalam huko Tanesco hawakujua kuwa itahitaji muda mrefu kukamilisha ujenzi huo? Hii miradi inafanywa tu kwa kubahatisha bila ya kuwa na upambanuzi juu yake kuhusu muda utakaohitajika kuikamilisha?
Hayo mabwawa anayotolea mifano yake, yalijengwa kwa muda huo wakitumia teknologia gani? Leo hii hapajakuwepo na maendeleo/mabadiliko yoyote katika ujenzi wa mabawa haya?
Huku kuwadharau waTanzania kiasi hiki kunatokana hasa na nini?
Hawa watu inatakiwa kuwatafutia njia za kuwatia adabu, kwa sababu sasa wamevuka mipaka kabisa katika kuwaona waTanzania kuwa mabwege.
Huyu naye asitufanye watanganyika wapumbafu ama wajinga kama yeye..hajui kuwa tekinolojia imebadilika sana kwa sasa.Katibu mkuu wizara ya Nishati ndg. Felchesmi Mramba amesema bwawa la Julius Nyerere halitakamilika hivi karibuni kama ilivyoaminishwa na baadhi ya wanasiasa.
Amesema bwawa hilo ni kubwa sana hivyo usalama wake unapaswa kuzingatiwa ktk hatua zote za ujenzi wake.
Ametolea mfano kuwa mabwawa ya Mtera, Kidatu na Kihansi ambayo ukubwa wake kila moja ni madogo mara kumi ya lile la Nyerere yalijegwa kwa miaka 5 kila moja.
Ameongeza kuwa bwawa la Nyumba ya Mungu lilijengwa kwa zaidi ya miaka 5.
Source: ITV (Kipindi Maalum).
View attachment 2244046
Hapana. Nchi yetu ina matatizo makubwa sana na ni kichaa tu atakayeshangilia au kusifu haya yanayotokea. Ilikuwaje mtu mmoja awe na nguvu ya kuanzisha miradi complex namna hiyo bila kupata ushauri? Kwa nini hawa wanaopiga kelele sasa hivi hawakutoa hiyo tahadhari kipindi hicho, including aliyekuwa makamu wa rais? Kwanini baada ya haya yote kutokea tunaona ni kama hakuna makosa yaliyofanyika na tukabadilisha mfumo kwa haraka sana ili yasitokee tena na badala yake tunajivuta? Hatuoni kwamba hata sasa hivi kuna makosa makubwa kabisa yanaweza kuwa yanafanyika na tusijue sasa hivi kwa sababu mfumo wetu ni mbovu?Yule boss wa awamu ya 5 alikuwa na nia njema lakini uwezo wake wa kupangilia mambo ulikuwa mdogo Sana. Aliendeshwa na mihemko ya kutaka sifa.
Huwezi kuanzisha miradi mingi ya matrilioni kwa wakati mmoja. Hii ndiyo hasara yake sasa
Mwisho wa siku yoote inafeli. Alitaka kuonesha yeye anaweza kuliko watangulizi wakeYule boss wa awamu ya 5 alikuwa na nia njema lakini uwezo wake wa kupangilia mambo ulikuwa mdogo Sana. Aliendeshwa na mihemko ya kutaka sifa.
Huwezi kuanzisha miradi mingi ya matrilioni kwa wakati mmoja. Hii ndiyo hasara yake sasa
Wafuasi mna imani sana. Hapa sio mambo ya emotional mkuu ni swala la mpunga na kutumia akili.Ye angeweza. Ni uthubutu tu. Kwani mangapi yameanzishwa na yamefanyika. Kuna lecturer mmoja aliniambia wakati serikali inaanza mchakato wa makao makuu dom kuwa hautafanikiwa kabisa. Baadae ye nae akawa mpiga tarumbeta. Nadhani hakuamini kilichotokea.
Sasa kama sio wajinga mtawafanya nini? mna mahakama ya kuwashitaki? Acha tu kuwashtaki je kuwwsema tu hadharani mna uwezo huoHawa watu ni wapuuzi sana, wanafikiri waTanzania ni wajinga.
π π πYaani kwa maelezo ya huyo katibu mkuu, siyo 2025 wala 2030 mpk kukamilika kwa huo mradi.
Mramba bana, JNHPP ni mara mbili tu ya mtera. Mara 10 sio kweli.Usibishane na mimi. Bishana na katibu mkuu wa wizara ya Nishati ndugu Mramba.