Female financial economics! Jinsi wanawake tunavoteketeza mamillion kwenye vitu visivyo na tija!

yani umenipa mawazo, mana nimejitafakari, nabadilika. hasa katika point ya kupokea mshahara na wakaka afu wenzetu kumiliki nyumba, nasisi kubaki na mahandbag uwii.
 

NATAMAN UNGEKUA MWALIM WA WADADA WOTE,,, mi hiyo tabia inanikeeeeraaaaa
 
nice post from a wise woman to a right pipo at a right moment...

Hope watakusoma na kukuelewa sis.:smile-big:
 
ujumbe huu umetulia ndo hali halisi ya maisha ya watumishi tuliowengi tubadilikeni
 
Kwakweli tufundisheni na jinsi ya kutunza maana mi naweza nisivae ila ndugu zangu washanijulia ukifika mwisho wa mwezi tu kila mtu anatuma maombi yake...nlivyodhaifu sasa hata bank naenda kuchukua nafikiria kuingia kwenye michezo ya upatu sometimes.
 
Jamni lara 1 hii mada imenigusa mie jamani ebu wadada tubadilike yaani kiukweli tena hata ikibidi tufikirie ku investnow jamani yaani usipoanagalia unakuta hata kati kati ya mwezi hela haifiki ndo ukiendeleza pochi mpya gauni mpya,sherehe za kitchen party jamani ebu wadada tuchange tena kweli yaaani hili nalo neno please dadas ebu tuchange
 
Kuna mtu aliwahi andika thread kwamba anataman kuwa na mke upstairs kama lara 1. Unajua nilimshangaa sana nikawa najiuliza huyu naye vipi. Apeleke shobo zake huko. Now nimekubali the guy was right the lady yuko safi upstairs. Thanks Lara you are genius. Kila ulichoandika hapa ni right
 
hivi wadada hawahongii

mbna sijaona kuhonga kiserengeti boi

kukipeleka savana weekend
 

well said lara 1, wadada wengi wamjini wanakimbilia kuinvest kwenye mavazi, vipodozi na mazagazaga mengine yasiyo yamaana, mwisho wa siku anajikuta hana hata cha maana!!!!!!!
Hakuna kitu kizuri kama kusimama kiume kwenye maendeleo hata jamii itakupigia SALUTE!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

kabisa my dear, tena kwa mwanamke kushusha maendeleo ni very simple kuliko mwanaume, sema tu tunaendekeza matumizi yasiyo na umuhimu!!!!
 

na wengine inawazoea tabia hii na kufanya ni majukumu kwa mwanaume...huyo huyo mwanaume unamtegemea kwa chakula kizuri, gari ya familia, nyumba ya familia na matumizi nyumbani kwenu na kwao... please punguzeni matumizi yasio ya lazima muyajenge maisha yenu na familia zenu...
 
Ndugu yangu, umenizindua kweli kwa hili, baada ya kusoma maelezo yako nmeenda moja kwa moja kujumlisha cost za handbag na viatu per month. Dah ukweli ningeweza nunua mifuko mingi ya cement, jengine limalizalo pesa zangu ni maswala ya jikoni na mapambo ya nyumba ambayo yakupanga. Asante sana nachukua hatua kujirekebisha ingawa ni kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…