Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
pole mama ndo madhara ya kutokujitambua, hongera pia kwa kuchukua hatuaYaani mpendwa umenigusa mimi nafikiri na wengine pia ila nilishajitambua kitambo kidogo, yaani kuna siku nilitumia 1m kwenye viatu,wigs na body lotion sasa kasheshe hayo mafuta ya ngozi yakaniaribujeeee nikaikumbuka Dove body lotion yangu na kujuta juu!!!!!!!!!!!!!!!!!