Female financial economics! Jinsi wanawake tunavoteketeza mamillion kwenye vitu visivyo na tija!


Pongezi kwako mwana mama,ujumbe mzuri tena umeuandika kikikekike(yani kama udaku flani ivi)
 

CC. Waziri wa vijana habari utamaduni na michezo

Chezeya yeye (but that is too much)

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Well said lara 1..

Sasa hebu tuandikie na ya upande wa pili hahaa haaaa.. Maana hii tabia yangu ya kuvaa nguo hadi ipate tobo na kiatu hadi kilale upande hapana kwa kweli..

Mie enzi ya chuo boom nilikuwa naweka kiasi fixed account upo mama!

Uchaga + uchumi = ( ........) Uwiiiii

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Kuna wakaka wanaspend na kujipe da beyond your imagination. Kuna mkaka ana pair 50 za nice leather boots! Vests na pants ni kama 60 hivi for each.

Hakuna standard ya maisha. Mtazamo wa sasa ukisaidiana na background huwa vinaamua mtu ataishije.
 
Last edited by a moderator:

Kwa hiyo unafanyia mambo ya maana ka mshahara tuu!! Kwa mfano kamshahara kako laki saba,ukipata milioni nje ya mshahara unafanya yako? Duh increment yenyewe bongo hii ni majanga! Kwa staili hii miaka nenda rudi una ka kipato kale kale.
 
Last edited by a moderator:

umegonga Ikulu dada....maneno kuntu kabisa!!!!
 
nzuri sana kwa wadada
haswa wanaopenda party party ni mitoko kila wikiend

akienda party hii lazima kila kitu kiwe kipya kuanzia wigi,kucha,mikope ile,apitie saluni afanye miscrub apake kucha rangi,kiatu kipya ,pochi mpya hapo kwenye gauni sasa laki 1,

pia hiii ipo sana kwa wadada wasio jiamini kwa sababu atataka aonekane mzuuiri wakati si kweli ama alivyo hivyo hajiamini hii tunaita kutokujiamini hivyo unakuta kila kitu katika mwili wake ni cha kunua(uzuri wa kutengeneza)

binafsi ama guud sinaga hizo expenses sababu najiamini hata nikienda part(ya muhimu kama harusi ya watu wangu wa karibu) always niko simple sababu najiamini
 
Nimeona aibu kama unanisema mimi, au unanijua nini ndio unanipa vijembe vya live live?
sijui nianzie wapi kujirekebisha maana najiona too late

Take action my dear, the only time you've is NOW, LATE is just an imaginary phenomenon.
 
Safi sanaaaaa mtoa mada! Na hiyo ndio njia nzuri zaidi ya kujiendeleza
 
Well said ukatae ukubali habar ndio hiyo
 
Good article.

Mwenye macho haambiwi tazama, mwenye njaa haambiwi kula.
 
Ninaamini thread na maneno haya haya yangetolewa na mwanaume/mkaka ingekuwa gumzo kama vile "lazima kuwe na tofauti kati ya ME na KE", "mwanaume ameshindwa kuhudumia hivyo anakuja kutafuta sympathy" na maneno mengine mengi.

Lakini kutoka kwa KE, inafundisha zaidii, mkuu lara 1 hongera kwa thread makini.

Bado kwa sasa kuna matumizi ya urembo mf. Kucha, nywele, n.k mengine ni simu hasa vocha/muda wa maongezi kuwa na simu nyingi(za bei ghali) n.k

Thread yako ni fundisho tosha kwa wadada, wake zetu..sadly si wote waweza kuwa ba utayari wa kubadilika.
 
Last edited by a moderator:

Hii ni miongoni mwa post bora ulzowahi post, zile post zako za kubwa la maadui mhhh, huwa hata husomeki sometimes! Thanks by the way
 
Muonekano wake unakua hauakisi maisha yake asilia, ingekuwa na upande wa misosi (balanced diet) watu wanajali ingekuwa poa sana
 

nakupa tano mkuu, mm napiga chai na leftover ya ubwabwa, nikizama chuo mm nikubadilisha class tu. bjet ya semister laki 175 tu.
 
ujumbe mzuri sana lara kitu kinachonimalizia pesa ni nywele tu kuvaa mawigi sipendi na kusuka twende kilioni ni ngumu kwangu pagumu hapo wallah ingawa bado sina majukumu mengi nitaanza kusave
 
Tumia kanuni hii itakusaidia "ukipata pesa hata iwe ndogo anza kwanza ku save inayobaki tumia kwa busara" kumbuka siku zote pesa huwa haitoshi,"pesa uliyo save think something to invest in that will bring money again in circle".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…