Female financial economics! Jinsi wanawake tunavoteketeza mamillion kwenye vitu visivyo na tija!

pole mama ndo madhara ya kutokujitambua, hongera pia kwa kuchukua hatua
 
Umesahau na nywele zenu za bandia zinanyofolewa maiti ya Brazil. Nywele unanunua hadi za laki?
 
kabisa my dear, tena kwa mwanamke kushusha maendeleo ni very simple kuliko mwanaume, sema tu tunaendekeza matumizi yasiyo na umuhimu!!!!
leo mmeligundua tatizo mpunguze kupiga yale mawigi makubwa mtu anakuwa kama kabeba wingu kichwani kiasi cha kupepesuka akitembea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…