Feminism imewaongezea Wanawake mzigo mzito zaidi kuliko walivyotarajia

Tafuta mwanaume akutulize upunguze shobo
Bado ume-panic mimi nakupa facts wewe unanikashifu huwezi kusimama ”KIUME” kwa hoja tukabishana kkwa facts.

Ila kama nilivyokwambia nenda kamuulize baba yako wa kufikia Dalali Pengo aliwahi kunihadithia tabia za mama yako so unavyo-sound ki-feminist hapa kumbukumbu zimenirudia nilichowahi kuambiwa.

Mtoto wa kiume unakuwa na mambo na hulka za kike kike vipi wewe?!!!
 

Feminism ilishamiri Rasmi Ulaya miaka ya 1800 lakini mpaka Leo haijafanikiwa. Bado wanaume ndio mhimili na mzizi uliojichimbia zaidi kuliko katika ulimwengu huu.

Ninachokiongelea hapa ni kuwa Feminism haitamnufaisha yeyote katika ya mwanaume wa kimwili na Mwanamke. Bali itazidi kujiumiza maradufu Mwanamke.

Ukiangalia Kwa sasa Wanaume ndio maisha Yao yanakuwa rahisi kuliko Wanawake.
Bado mwanaume hajazalilishwa kivyovyote na mfumo uliopo.
Isipokuwa mwanamke ndio muathirika na watoto.

Ndio maana Kwa kuliona Jambo hili tunalipiga vita ili kulinda utu na heshima ya dada na Mama zetu ingawaje wao wenyewe hawaelewi ni Kwa kivipi

Wao wanafikiri Mimi na watu wa namna yangu tukiongea wanadhani tunalenga kuwakandamiza na kuwanyanyasa kumbe sivyo kabisa.
 


Umeongea mambo mazuri Sana.

Dunia inapitia wakati mgumu Kwa sababu ya tamaa za watu wachache wanaohitaji Utajiri Kwa namna yoyote
 
Unaongea uhalisia uliopo mtaani kabisa, kiukweli hali ni mbaya sana ila ndiyo hivyo tu wanakaza shingo.

Hawa watabisha lakini kimsingi anayeumia ni mwanamke na watoto.
Mwanaume hajawahi na hatokuja kuumia Kwa sababu nature yenyewe ni Dume ambayo inatawala kila kitu.

Wanaolia Mtandaoni ni Vijana wadogo wanaobalehe ambao hata hivyo ukitoka Mtandaoni ukija mtaani huwezi kuta hivyo vilio. Hata huko vijiweni ni hivyohivyo
 
Wao wanadhani wanafanikiwa kumbe wanabeba mizigo ambayo hawajaumbiwa kubeba, wanajiingiza kwenye laana ya mwanaume ya kula kwa jasho bila wao kujua. Inakuwaje mwanamke anahangaika na watoto wakati baba wa watoto yupo halafu anafurahia kujiita single mother? mwisho wa siku wanapeleka migogoro kwenye familia walikotoka, kila mara kuomba ada za watoto kwa wajomba zake ambao na wenyewe wanakuwa na majukumu yao...​
 
Ideally Feminist Kuna kipindi ilikuwa inadai tuingie social ism. Manake huu mfumo wa maisha ya kisasa (modern) umekaa kikapitalist. Na ukapitalist unampa nafs mwenye nguv awe na nguv zaidi (survive of the fittest). Wakat huo tayari mwenye nguv na mmliki wa Mali hadi Idea ni mwanaume. Hii ndio sabb feminist haisongi mbele
 

Iliandikwa kuwa ataweka uadui Kati ya huyu Mwanamke na Joka,
Ndio kinachoendelea hapa,

Shetani kikawaida akija Kwa mwanamke huja Kwa mbinu ya kutaka kumsaidia kwenye tatizo Fulani,
Mfano, Hawa wakati anadanganywa na Nyoka, Shetani anataka kumpa msaada Hawa/Eva afanane/awe Kama Mungu, hivyo ili awe Kama Mungu itampasa ale matunda aliyokatazwa asiyale.

Mwanzo 3:1
Basi nyoka alikuwa mwerevu kuliko wanyama wote wa mwitu aliowafanya BWANA Mungu. Akamwambia mwanamke, Ati! Hivi ndivyo alivyosema Mungu, Msile matunda ya miti yote ya bustani?

Mwanzo 3:2
Mwanamke akamwambia nyoka, Matunda ya miti ya bustanini twaweza kula;

Mwanzo 3:3
lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema, Msiyale wala msiyaguse, msije mkafa.

Mwanzo 3:4
Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,

Mwanzo 3:5
kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.

Mbinu hiyo inatumiwa na watu wote wajanja pale wanapotaka kuwaingia Wanawake.
Ukitaka mwanamke umpige kirahisi mwambie utamsaidia kumuwezesha afanane na Mungu, Kwani Mungu anafananaje,
Kuwa na mamlaka na utawala, ajiongoze, ajitegemee na kumsaidia watoto.

Feminist wamejitahidi kuwa-empower wanawake Kwa lengo la kuzorotesha taasisi ya ndoa ili jamii zisiwe na nguvu.

Kumbuka Mwanamke hata awe empoweed Kwa namna gani hawezi kuitiisha dunia,

Hata Wanawake waliotawala katika falme za nyuma wote walikuwa wanasapotiwa na kikundi Fulani cha wanaume

Lakini mwanamke kama Mwanamke Hana uwezo wa kutawala wanaume ambao hawataki kutawaliwa.
Lakini mwanaume anauwezo WA kutawala wanawake hata Kama hawataki kutawaliwa
 

Na haiwezi kusonga mbele Kwa sababu kwenye mifumo ya kiroho watawala Wana male Character,
Ukishasema Baba unamaanisha chanzo cha ,
Yaani kila kitu kina Baba lakini sio kila kitu kina Mama

Hata huo ufeminist muasisi wake ni male Character ambaye ni Lusifa, ambaye amecheza Siasa za kiroho kumnyang'anya mwanadamu utawala
 
Lucifer kupitia movement ya feminism kafanikiwa sana kudhoofisha taasisi ya ndoa hasa nchi za ulaya ambapo wanawake hawajali sana kuhusu kuolewa kwani wana access sawa na mwanaume kwenye kupata elimu, kazi na kipato. Kama ni watoto ataenda kupandikiza mbegu, au kuasili, kama ni sex anaenda kununua toy. Kimsingi ni spiritual battle ambapo lucifer anashawishi binadamu waasi kila kanuni asili za maisha ambazo Mungu aliziamuru kwa mwanadamu.​
 
Andiko lako zuri Sana na Lina ukweli ndani yake,,,,,ingawa sikubaliani na dhana kwamba Mungu ana jinsi au mtazamo WA kiume,,,,lakini huo ni ufahamu wangu na Imani yangu.

Kongole Kwa andiko zuri.
 
Andiko lako zuri Sana na Lina ukweli ndani yake,,,,,ingawa sikubaliani na dhana kwamba Mungu ana jinsi au mtazamo WA kiume,,,,lakini huo ni ufahamu wangu na Imani yangu.

Kongole Kwa andiko zuri.

Karibu Sana Mkuu.

Tunaweza pia kujadili Hilo suala la Mungu anacharacter ipi, yakike au yakiume Kama mada ndogo humuhumu!

Unataka tujadili Kwa Kutumia maandiko ya Dini gani?
Je Biblia au Quran?

Au Imani yako umeijenga nje ya Dini hizo mbili?

Maana dini zote zote zenye Asili ya Abrahamu zinamtambua Mungu anacharacter ya Kiume. Yaani ni mwanaume.
 

Hapo ndipo patamu,
Na muda huohuo anashawishi Vijana wadogo kujiingiza kwenye ushoga ili wachokolewe kama wanawake
 
Ngoja tuliweke kipolo Hilo siku nyingine inshallah
 
Sisi wakristo ndo tuna shida, waislamu wake zao angalau Wana kaibu kidogo maana anajua mda wowote anaweza pigwa chini au letewa mwenzake. Hawa wa Kikristo hawana competition kama zigo ni lako ndio kinachowapa kiburi.
 
Hujawahi ni let down tycoom wa Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…