Feminist huoana, wife material huolewa. Je, unaoa/kuolewa au mnaoana?

Wew humuoni umri umeshamtupa mkono nani ataoa hiyo takataka
 
Mkuu,umewachokoza "mafeminisiti" ngoja wamalize kunywa chai
 
Sijui kwanini niliwaza kuwa ule mwandiko wangu utakufanya uanzishishe uzi.

Mkuu ikikupendeza lipia huu uzi hata jero tu mwanangu nikanywe soda maana jua linapiga kichizi pande hii
😂😂😂😂
 
Sogea tuishi .. alianza na kuacha pichu moko ,ya pili ..mara begi zima .. mara imo mara huyu hapa tunaishi
Ndio useme umemuoa au mmeoana?
Naona hii ni case ya kujileta 😁ila baadaye mtakapoamua kuirasimisha ndoa yenu, mambo ya mahari n. K utaoa /kuolewa au mtaoana??
 
Feminists asilimia kubwa ni masingo mom ,nahivi vitoto vinavyo lelewa na bibi zao vinaibukia kwenye chaka la Simba na kuanza kupushi ajenda za haki sawa kumbe ujinga tu
Yaani kuna Hannah ,ngoja aje ajibu hizi shutuma
 
Ni mwendo wa kuwagonga kichwa Kama dishi likae vizuri
 
Acha niwe wife material niendelee kufaidi huduma za huyu baba jaman kuliko kujitutumua kushindwa kumnyenyekea halali yangu nianze kuvamia ndoa za watu nizae kila mtoto na baba yake kisa tu nimeshindwa kuwa mtii kwa mme wangu ambaye Mungubamemfananisha na kanisa mpaka kamuita kichwaaaa......nawashangaa wanawake wanaoshupaza shingo kujidai super women huku wanavizia waume za watu wanaanza kupata mb** za foleni!!! Ndoa Ina raha yake bhana,watt wanafaidi kuona baba na mama mnaishi pamoja!!!
 
Ewaaa ebeneza kweli Kama jina lako
 
Sura yenyewe mbaya kuliko ya stivo simple boy ndo maana feminist wengi ni ugly khaaa [emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Duh huyo yupo kama finyo finyo yale yanayokaa kwenye mbolea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…