Nimejaribu kulitafuta kwenye kamusi nimelikosa nimepata yafuatayoUkiachilia mbali watu wanasemaje au wanawake wanamaanisha kitu Gani, neno kuoana linamaana Gani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haistui hata.Na ukianza kujihudumia tu jua umeisha. Automatiy unajitengeneza kuwa single mother anayedharaulika
Wacha wee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sharti la ndoa ni kusaidiana kudeki na vyombo? [emoji16][emoji16]Mwanaume nitahudumia familia mwanamke atailea na kuhakikisha mazingira (usafi nk) viko sawa!
Tatizo hautaki kuhudumiwa kisa na wewe una "chenji " zakoWacha wee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu kulitafuta kwenye kamusi nimelikosa nimepata yafuatayo
1.Olewa/Oa
2.Posa(ask -in)
3.Oza
Hilo neno "Oana " linatokana na "marry each other "kwa lugha ya kiingereza, Huku kwetu Mwanaume anaposa (ask in) ,Upande wa mwanamke ukikubali anaolewa, no such a thing as kuoana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1733] ndo zao hao mademu mabovu sababu hawana option mbona Rihanna ni tajiri kuliko Asap rocky lakini anamtii vizuri tuDuh huyo yupo kama finyo finyo yale yanayokaa kwenye mbolea
Hao wanaume mafeminist ,unaweza kunipa mfano wao hapa? Just Curious
Mmmh we ni ke kwa andiko hili shindwa kwa jina la Yesu maneno yako ni batili tupuWanaume pia wamepungukiwa uwezo wa kuoa. Wengi hawana uwezo huo, wanaweza kuoana au kuolewa. Wanawake wameweza kutafuta kipato kuliko baadhi ya wanaume, maofisini wanawake wamepewa nafasi nyingi za ajira ilihali wanataka kuolewa, wanaotakiwa kuwaoa wapo mtaani wanabeti. Huko tunakoelekea huenda wanaume watatolewa mahari na kutunzwa ndani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee nan kasema.Tatizo hautaki kuhudumiwa kisa na wewe una "chenji " zako
Kauli zako hizi zitakukosesha ulaji bure[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee nan kasema.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulaji nnao kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kauli zako hizi zitakukosesha ulaji bure
Nilitaka kushangaa ukatae ulaji wewe?🤪😂Ulaji nnao kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shida ndogo ndogo sio zangu,. Siombi ila nikipewa napokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Enhee sasa naingia ndoani kumsaidia hayo majukumu yake asichoke sana.Kama kazi za kupika, kuosha Vyombo, kufua,kudeki ndani ni kazi ya mwanaume kunaulazima gani wew uingie ndoani Kama hata majukumu yako tu huyafahamu
duh baada ya kuona hio picha sina la kusema maana ngoja tu ninyamaze. Kazi ipo kweli kweli dunianiMi nataka kumuoa huyu. Sijui atakubali au pengine atataka "anioe" au tuoane. Kazi sana yaani [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2464131
basi sawa kila msomaji na afikiri before & after enlightenment. Utagundua kuna mapinduzi yamesababishwa na elimu (kuelimika) likiwemo hili la ufeministFafanua zaidi kuhusu elimu boss kwa maslahi ya wasomaji.
hapana hakishushi heshima. ila kama mwanamke ndiye anapata milioni 20 kwa mwezi ananguvu kubwa kwenye ndoa ikiwa kwenye maamizi na mambo mengine. ila kama ni mwanaume anahela zaidi ya milioni 30 basi nguvu itabaki kwa mwenye hela pale pale kwa mwanaume ambapo inatakiwa kila siku. sasa sikuhizi wanaume wanataka walale kwenye kochi asihangaike kisa mke anapata 20 milion bro expect kutofuliwa au kupikiwa chakula. money is power. money talks.Kwa hiyo kipato kinadetermine heshima ya mwanaume kwenye ndoa?