Hao very simple kuwapata, shughuli ipo kwenye kuwaacha nina mwanangu mmoja, huyu pombe, fegi ,ndumu kavuta sana ila siku hizi ndumu kaacha na fegi kapunguza,anamwanae mmoja kampani yake alikuwa na nyumba ndogo yake ni afisa Captain, mwamba alikuwa anajipigia sasa yule afisa alimwelewa sana. Kumbe mwamba lengo lilikuwa ajipigie then asepe,mara akapunguza mazoea, mara akamblock. Yule afisa akamua kufanya upelelezi wake, akapajua anapofanyia kazi, mwamba siku hiyo anatoka, yule afisa full gwanda kamvuta kwenye gari, mwana akawa mpole, samahani samahani nyingi mara adai line ilipotea, baadaya hapo wakaondoka huko wakaa kama siku mbili, mwamba akawa anajinsi siku mbili zote anapiga show.Ila ilienda baada ya mda yule afisa akakubali kuachan na jamaa ila haikuwa kazi rahisi.
Nina mwanangu mjeda ananiambia ni wepesi sana na wanalika sana huko makambini.