Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Lecd na led ni aina ya display yani nia iana ya kioo chako kilivyotengenezwa.Asante mkuu na hili neno LCD ktk monitor huwa linamaanisha nini na nini hasa hii maana utaskia hii ni LCD Mara LED,
Pitia huu uzi ulishaongelewa vizuri nakuwekea linkAsante mkuu na hili neno LCD ktk monitor huwa linamaanisha nini na nini hasa hii maana utaskia hii ni LCD Mara LED,
Jaribu tor browser ipo vizuri hii ni km vpn (lkn siyo vpn) km ww ni mdau wa deep web hii ndiyo browser
Vpn zipo nying ila za bure siyo nzuri sana.
LCD inasimama kama Liquid Crystal display ni old method iliyokuwa inatumia screen zenye liquid kudisplay mbali mbali na LED ni currently tech ambayo ni Light Emitting diode LEDAsante mkuu na hili neno LCD ktk monitor huwa linamaanisha nini na nini hasa hii maana utaskia hii ni LCD Mara LED,
How? Unaweza kutuelezea hapa,? Je mim mtumiaji wa cm ya kawaida nawezaje kutumia hyo VPNpia hizo VPN zinaweza kukupa free internet yaani unlimited data
Nawezaje kutumia VPN? Process zakeVirtual private network ni mfumo ulioanzishwa mwanzo kwajili ya biashara kubwa baadae hata watumiaji binafsi walilazimika kutumia ,
Mfano: coca cola company iko karibu dunia nzima bila kutumia vpn wangelazimika kutumia cables kuunganisha office zao mfano Canada, Georgia, Tanzania ila haiwezekani kwaiyo watatumia internet na vpn itahusika hapo ili kulinda taarifa zao kutoka kwa hackers.
Mfumo huu unaosaidia ukiwa kwenye mtandao usionekane uko wapi(hide your location), pia unakusaidia kuficha taarifa zako (data encryption), pia unakusaidia kuingia website zilizofungiwa(unblock site) sehemu uliopo mfano ukiwa china sites kama YouTube, google, facebook, zimefungiwa ukitaka kiziacces lazma utumie vpn,
Vpn pia inauwezo wakuficha I.p address yako isijulikane iko wapi?
Vpn zipo nyingi na kila moja ina idadi ya servers , zipo za free na zipo zakulipiwa kwa jinsi yakutumia vpn ingia YouTube kila moja ina jinsi yaku install + configuration. .
LCD inasimama kama Liquid Crystal display ni old method iliyokuwa inatumia screen zenye liquid kudisplay mbali mbali na LED ni currently tech ambayo ni Light Emitting diode LED
Umenikumbusha mambo ya chuo, walifunga cyber roam, huwezi kuingia youtube facebook wala torrent site, Ilikuwa inanifaa sana hiyo.Jaribu tor browser ipo vizuri hii ni km vpn (lkn siyo vpn) km ww ni mdau wa deep web hii ndiyo browser
Vpn zipo nying ila za bure siyo nzuri sana.
nazani ushasoma kwenye comment za watu wengine ila Kwa kuongezea tu hizi ni application na zipo play store .How? Unaweza kutuelezea hapa,? Je mim mtumiaji wa cm ya kawaida nawezaje kutumia hyo VPN
Karibu vpnDaah!! Nimekuelewa mkuu
Virtual private network ni mfumo ulioanzishwa mwanzo kwajili ya biashara kubwa baadae hata watumiaji binafsi walilazimika kutumia ,
Mfano: coca cola company iko karibu dunia nzima bila kutumia vpn wangelazimika kutumia cables kuunganisha office zao mfano Canada, Georgia, Tanzania ila haiwezekani kwaiyo watatumia internet na vpn itahusika hapo ili kulinda taarifa zao kutoka kwa hackers.
Mfumo huu unaosaidia ukiwa kwenye mtandao usionekane uko wapi(hide your location), pia unakusaidia kuficha taarifa zako (data encryption), pia unakusaidia kuingia website zilizofungiwa(unblock site) sehemu uliopo mfano ukiwa china sites kama YouTube, google, facebook, zimefungiwa ukitaka kiziacces lazma utumie vpn,
Vpn pia inauwezo wakuficha I.p address yako isijulikane iko wapi?
Vpn zipo nyingi na kila moja ina idadi ya servers , zipo za free na zipo zakulipiwa kwa jinsi yakutumia vpn ingia YouTube kila moja ina jinsi yaku install + configuration. .
Na amoled pia. Ufafanuzi jamaniAsante mkuu na hili neno LCD ktk monitor huwa linamaanisha nini na nini hasa hii maana utaskia hii ni LCD Mara LED,
LED - LIGHT EMITTING DIODELecd na led ni aina ya display yani nia iana ya kioo chako kilivyotengenezwa.
Led kinaonyesha vizuri zaidi kuliko LCD.
Na LED ina aina pia ndani yake
Vpn unaiturn on chagua nchi husika then turn ON ..Nawezaje kuitumia katika cm yangu baada ya kuinstall