Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

Virtual Private Network ni aina ya network ambayo ina "encrypt"(inazificha) taarifa zote unazotuma na kupokea katika internet ama network yeyote kwa kutumia keys(private na public keys).
Protocols ambazo zinatumika ku-encrypt data ni SSL ambayo inatengeneza kitu kinaitwa "tunneling", yaani kwenye internet kuna devices nyingi ziko interconnected sasa vpn inakuwa inatengeneza kitu kama hole (tundu) la kupitisha data kwa hiyo networks nyingine zinakuwa ni ngumu kuona zile data na pia vpn inafanya device ionekane ipo location nyingine kwa kupewa IP tofauti.

Nadhani hiyo inaweza kukusaidia kuelewa ninachokieleza.
Moja ya kazi kubwa ya vpn inasaidia ku-access blocked website ndani ya nchi husika.
 
VPN ........loading....... kidogo ni somo refu japo naweza ku summarize kiasi lakini ntamis key points
 
Ahsante sana. Swali dogo, tunatumia mbs hizi za kawaida?
 
Mwenye uelewa zaidi naomba aeleze pia, kwasababu nimekuwa nainstall vpn, lakini inakuwa muda mwingi haifanyi kazi
 

Na pia, kwenye browser nyingine utakuta kuna incognito mode what does it mean...?

Thanks.
 

Virtual kwa vile ipo ndani ya software na haipo kwenye hardware yaani ukiwa ndani ya VPN haujali zile router/switch zilizopo chini yake, unapozima VPN na "Network" yenyewe inafumuka.
 
How to use it?
Umefika muda sasa mtuelekeze jinsi ya kuitumia.
Huyu jamaa atafunga mitandao mingi sana soon
 
Nenda mtandao unaitwa wikihow,,akikisha una laptop na simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…