Fid Q nani kakuloga? Umeanza kurithi ujinga na Chuki za Ali Kiba dhidi ya wasanii wenzake! Walichokifanya msibani ni kitendo cha kijinga na kishamba!

Argue rationally, rather than emotionally. Ushabiki mwingine ni hovyo kabisa.
Nani alisema kumpa mtu mkono ni kumtukuza???

Halafu ungetoa mawazo yako bila kutumia lugha chafu yenye kukera kusoma usingeeleweka??
kama kumpa mkono si kumtukuza kwa nini usipo mpa iwe nongwa ichukulie kawaida unalalamika nini sasa
 
"Hii yote baada ya kuoa"
 
kama kumpa mkono si kumtukuza kwa nini usipo mpa iwe nongwa ichukulie kawaida unalalamika nini sasa
Hakuna aliyelalamika.. Ni uwezo wako wa kuchanganua haya mambo umefika mwisho.

Kwa heri
 
kibongo bongo ukifanikiwa utachukiwa na ulowazd bila sabab xa mi hua najiulz je wahusika wanahc chuk itapunguz rizk ya unaemchukia...?, tujifunz kuwapenda w2 ili 2barikiw nasi

Kwa nini unaandika hivi? Una matatizo ya ubongo?
 
Alichofanya harmonize ni ushamba.

Mi sio shabiki kabisa wa ally kiba lakini hata wewe utaonaje ukiwa umeenda msibani na muislamu mwenzako (harmonize) amekuja kavaa mahereni mabodyguard kibao n.k kama anaenda kupiga show kinyume kabisa na maadili yetu ...

Ni kheri walivyoondoka maana inaonyesha wazi kabisa bwana mdogo alikuja kuvimba na sio kuzika
 
kama mlikuwa hamjui wale walionyanyuka na Kuondoka na Alikiba ndio bodyguard wake akiwemo na fid q
 
maisha bila fitna hayaendi lakn muda mwingine kwenye shughuli ya kijamii mfano hapo msibani walitakiwa wasionyeshe tofaut zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…