Fid Q nani kakuloga? Umeanza kurithi ujinga na Chuki za Ali Kiba dhidi ya wasanii wenzake! Walichokifanya msibani ni kitendo cha kijinga na kishamba!


maadili yetu yapo wapi nikayasome ??
 
hapo kwenye mr nice umedanganya..Tengua kauli
 
Fid q mwishonwake umefika anatapatapa na haamini kinachotokea
 
Mnao support huyo konde boy ni wapumbavu kiwango cha Lami kama una chuki na kiba Sema mengine lakin sio kuhalalisha aliyoyafanya Konde boya huwez kwenda msiban ghafla na ma body guard na waandishi halafu watu waanza kuambiwa wawapishe shughuli yenyewe ipi uswahili misiba hii ya kiislam hainaga hata pa kukaa VIP umeenda kuleta vurugu...mtoto wa kiislam marangi kichwan....kama unamkubali mtu mkubali kwa kazi zake na kama unamchukia mtu mchukie kwa kaz zake, Kina kiba alionesha uungwana kumuachia uwanja jamaa afanya yaliyomleta sababu walikuwepo pale muda wote na palikuwa pametulia tu..!..usihalalishe hata upumbavu sababu tu mtu unampenda Konde boya namkubali ila alichofanya sio ubinadamu ile sio shighuli ya lwenda kufanya show off hana u star wa mtu kumvizia had misiban
 
Acha uongo bana Harmo alikwenda na walinzi wake hakwenda na waandishi bali waandishi ndio walikuwa kwenye msiba.
 
HiCHi kimakonde kina mambo za ajalbu sa

Kimakonde kina mishe za ajabu sana hafu msibani wanavaa hivyo

Rubbish mi ningefufuka nikizabe makofi ..nyenyenye
 
kama kuna watu misukule ni hawa wanaomshabikia diamond na WCB yake. Hawa wanaongoza kwa kulalamika WCB wanaonewa wakati huo wanakwambia wcb ndio imeteka soko la mziki. Yaani upuuzi upuuzi tu
Tunaheshimu mawazo yako
 
Kuna watu tangu alipoimba kusifia chama tawala basi wanamuona kama ni wa kwao hatakiwi kabisa kuguswa! Kuna watu ni wanafiki sana, critics ndizo zinazomjenga mtu badala ya kusifia tu kila kitu na kutetea hata makosa! SMH!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…