Fid Q : The King of Plagiarism of all the time

Natamani kusema mengi sana.
Ila mnamkosea heshima Fid Q sana.
Huyu ndio ni godfather wa Hip hop TZ
Kubali au kataa.
Ukweli ndio huo.

BR
Uduzungwa.
Acha kutuongea wewe yule alikuwa anabadilisha nyimbo za Krs one muulize pfunky hata beat ya krs one walishirikiana kuiba na kubadilisha kidogo ila ni mulemule
 
Ntajie Mkali wa hip hop bongo mwenye Hits kalii zaidi ya Fid q???
 
Nitakutajia vichwa vya hip hop bongo na siyo hits za kukopi,fid q niliacha sikiliza nyimbo zake miaka mingi tangu alipotoa ft na nature agosti 13
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hao vichwa unadhani hawataki kuhit na kuuza kama fid q?? So mziki ni kipaji mzee huwezi tengeneza beat mpya kabisa leoo...huwezi imba mistari ambayo haipo kabisa tena Fid q ndo anamistari mingi ya kutunga kwenye nyimbo zake kuliko hao hip hop wenu
 
Atakopi na akuimbie wewe siyo mimi.
 
Nitakutajia vichwa vya hip hop bongo na siyo hits za kukopi,fid q niliacha sikiliza nyimbo zake miaka mingi tangu alipotoa ft na nature agosti 13
mbona hata kutaja hujataja umeishia kurusha mate tu mkuu
ina maana hao vichwa wako ambao hawasikiki wameshindwa hata kukopi nao wasikike??
"me ni high level,sio high level ndo mana hunioni,wulize wenzako fid q yuko juu zaidi yako homi"
 
Hebu naomba na ww ufanye plagarism halafu utuletee wimbo wako na uhit.... vinginevyo tulia tu
 
mbona hata kutaja hujataja umeishia kurusha mate tu mkuu
ina maana hao vichwa wako ambao hawasikiki wameshindwa hata kukopi nao wasikike??
"me ni high level,sio high level ndo mana hunioni,wulize wenzako fid q yuko juu zaidi yako homi"
Sasa unataka nikupangie kama wewe unavyotaka kunipangia?wewe msikilize huyo mimi simsikilizi
 
mbona hata kutaja hujataja umeishia kurusha mate tu mkuu
ina maana hao vichwa wako ambao hawasikiki wameshindwa hata kukopi nao wasikike??
"me ni high level,sio high level ndo mana hunioni,wulize wenzako fid q yuko juu zaidi yako homi"
"mi Ni high level siyo high label....
 
Nikki mbishi said that [emoji116]

Lete kiburi uchinjwe watu wale kichuri...//

Fid q akiwitness ninavyopata sifuri...//"

@ kandamaalum
 
Kabisa Mkuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…