Fid Q : The King of Plagiarism of all the time

Fid Q : The King of Plagiarism of all the time

nimesoma vitabu vyote vya kiswahili ndiyo..nilikua librarian miaka ya 90..ndomana nakwambia we binti mnafiki tu,unabetua midomo bure tu humu na tabia zako za kishangingi
kumbe naongea na kikongwe mwenye menopause,pole sana hope hujawa mjanešŸ™Œ
 
Fid q anamchango mkubwa sana kwa wapenda kutafuta maarifa, kuupenda muziki wa hip hop isiwe kichaka cha kujificha gizani na kumshambulia aliye kwenye mwanga, kwa style na flow yake wachache sana wangeweza ku-survive nayo.Fid anaheshimika kwa CONTENTS ndio maana wewe mleta thread na wenzako mnashambulia, angekuwa anaimba vitu simple wala usinge-muongelea hata.najua mmekosa references za sehemu anapo copy.nawapa moja aliwahi kuchukua sehemu ya chorus ya nyimbo ya Nas akaitumia kwenye nyimbo yake, kwa sababu ilikuwa inaendana na maaudhui ya nyimbo (kumsifia dem mkali)
Screenshot_2018-11-26-18-56-55.jpeg
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Tumekusikia lava lava mawazo yako tutayafikisha sehemu husika (kwad fid q)
 
  • Thanks
Reactions: Pep
kuna ajali mbaya sana iliwahi mtokea,akanusurika kupona ,tangu siku hiyo akasema hatokaa amiliki gari
Kwaiyo jamaa anatembea kwa miguu sio? Kama ni kuogopa kununua gari kisa alinusurika ajal ya gari huo kweli ni ungosha,,,sasa mbona anapanda magari bado? Au ajali itampata kweny gali lake tu ?

Mkuu sikutegemea uiseme hii kama sababu kubwa ya ngosha kutokua na gari..unless otherwise unambie jamaa anatembea kwa miguu safar zake zote.
 
Ninachosema hiki nakirudia tena.

Huyu jamaa mnamuoverrate sana.
Na hapo ndipo wanapo muua huyu jamaa..wanamuaminisha ni mkali sana kumbe sivyo..kuna vichwa vinafanya hiphop bongo huyu fid anakaa kushoto.
 
nimesoma vitabu vyote vya kiswahili ndiyo..nilikua librarian miaka ya 90..ndomana nakwambia we binti mnafiki tu,unabetua midomo bure tu humu na tabia zako za kishangingi
Ngoja Mimi ntakuja mistari yote aliyokopi
 
Alitafsiri sana nyimbo za Krs one huyo,legend aliyebaki baada ya Faza Nelly ni Chindo man tu
 
hana tofauti na watangazaji wa azam kutafsiri muvi za watu na kujiita ni great artist... ukiwauliza wanakuambia ni voice over artist... lkn sauti ni ile ile kila movie mpaka movie inapoteza uhalisia wake...
 
Mbona wasanii wengi wana quote mzee baba, labda wewe siyo mfatiliaji wa music

Labda nikupe mfano

Diamond nyimbo ya wakawaka alisema baby you should let me love you, hii ni nyimbo ya mario, nyimbo ya halelujah alisema i wanna know what turns you on, hii ni nyimbo ya joe thomas, hapa nimekupa mfano wa msanii wa bongo


Twende mamtoni sasa, kuna wimbo wa lil wayn le unaitwa mirror kamshirikisha bruno mars kuna sehemu kasema i even look good in a broken mirror, kuna muvi ya james bond mwanadada mmoja alisema maneno hayohayo, quote zipo nyingi huwezi zimaliza, hazijaanzia kwa fid na wala hazitaishia kwake acha wivu wa UKE WENZA
 
Siku zote fasihi ni kama bahari ndio maana ikaendelea kuwepo mpaka sasa..Fid Q anafanya shughuli ya kifasihi ambayo bila kipamba haileti maana mbona wapo watu wanaimba nyimbo za watu na mnazipenda ..jibu ni moja sanaa ni uzuri wa kitu na inaweza kutafsiriwa hata mara 9000
 
Sijaona tatizo lolote lile kwa yeye kusoma vitabu na kurahisisha yale anayoyapata humo kwa njia ya mistari, nilishawahi kumsikia kwenye interview moja akisema yeye anapenda sana kusoma vitabu, ningeshauri na wasanii wengine wajisomee vitabu ili waimbe vitu vinavyoeleweka, pia nikukumbushe mdau, kusoma kitabu au vitabu ni jambo moja na ule ufundi wa kuunganisha hayo mawazo katika mtitiriko unaoeleweka na yakaimbika ni jambo jingine, hivyo tusiwabembeze wasanii wanaojisomea kaka, sijajua pia kama ulitaka kila mwisho wa wimbo pawe na references na ziwekweje.
Umemaliza kila kitu Mkuu.
Mleta Uzi atuletee uthibitisho/evidences zinazo onesha kuwa "kusoma/kujisomea vitabu kisha ukatumia maarifa/mawazo hayo ktk kutunga nyimbo na kuimba ni plagiarism".
 
Kwa kuwa umesema hakuna kazi rahisi kama anayofanya Fid q, ningeomba uniquote kwa verse hata moja tu ya kucopy kwenye vitabu au kutranslate popote pale kuthibitisha madai yako.

NB : Ukishindwa leta verse it means jamaa is the best na hicho kinamfanya kuwa Fid Q. Kushindwa kuleta verse maana yake anachofanya ni kitu kigumu na sio rahisi kama unavyotaka kuaminisha watu.
 
Back
Top Bottom