Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Likud niaje, nyingine hii hapa ukishindwa kujiandaa jiandae kushindwa amekopi ile quote inayosema if you fail to plan you plan to faol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We makuzi kweli Wewe.Yani ulirepresent kitaa cha weusi kwa kutumia mawazo ya wazungu..Listen to urself b4 u post ur container of nonsense and call it explanationsWe jamaa likuda sana kama jina lako lilivyo tu sioni logic yoyote hapa hakuna sehemu fid alishawahi claim hiyo mistari ni his own creation anachofanya ni hip hop representing his own hood yaani kitaa ,as hiphop ni culture ya maneno ,by word of mouth anapresent pia mawazo ya watu !
So quotation na citaton unafanya ww mlaji wa hiyo bidhaa according to ww unavyopambanua mambo!
So hapa unachofanya unatuonesha namna gn ulivyo shallow kweny mziki was hiphop so please nakuomba endelea kusikiliza bolingo na bongofleva za mind na kiba bro huku tuache kdg......
Kwa reference zaidi review nyimbo ya olle chiza upunguze ushamba
I'm out
D
Sidhani kama kuna 'idea' mpya kabisa kabisa Msanii anaweza kuja nayo ili awaridhishe watu wa sampuli yako.
Hata nyimbo za wasanii wakubwa duniani, tayari zilishawahi kuimbwa na wasanii wengine kabla yao, tena wao wamepita mulemule -- bora hata ya Fid Q anayeleta mawazo yake kutoka katika 'quotes' za watu -- lakini bado hakimiliki ni zao.
Mifano halisi ni hii michache:
1. Wimbo YOUNG FOREVER wa msanii mkongwe wa Hip Hop nchini Marekani, JAY-Z ulishawahi kuimbwa miaka ya '80 na msanii NASHVILLE, na ukiusikiliza, Jigga amepita mulemule, lakini bado dunia imemtambua SHAWN CARTER @ JAY-Z kwa ngoma yake hiyo.
2. Wimbo maarufu wa MAD WORLD ulioimbwa na msanii GARY JULES ulishaimbwa na SHADE OF TEARS miaka ya nyuma, na ni vilevile 90%. Kwahiyo ni suala la kawaida kabisa.
Kwa hapa Bongo kuna nyimbo kama Siwema, Sina Makosa, nk. zimekuwa 'severely sampled,' NI SUALA LA KAWAIDA KABISA.
Kwahiyo FID Q is still a genious.
Hakuna kazi rahisi kama kufanya muziki anao ufanya Fid Q. Anacho kifanya Fid Q ni kutafuta best quotes kuhusu mada anayo taka kuiandikia wimbo au kusoma kitabu halafu akipata wazo zuri ndani ya kitabu hicho anacho kifanya ni kulitafsiri na kulifanya kama wazo lake.
Mfano kwenye wimbo mmoja wa Fid kuna mstari anasema " Maisha ni kama kioo ukiyachekea na yenyewe yanakuchekea'
Hii amecopy kwa MTU mmoja anaitwa Peace Pilgrim ambae nukuu yake inasema " Life is like a mirror if you smile at it it smiles back at you'
Nyimbo nyingi za huyu jamaa ni tafsiri ya mawazo ya watu wengine
Jambo linalo mfanya kuwa mfalme wa plagiarism Tanzania
Plagiarism ni kitendo cha kuchukua wazo la mwandishi mwingine.na kulipresent kana kwamba ni wazo lako bila kumu acknowledge muasisi wa wazo hilo.
Kwa nchi za wenzetu ambao wanalinda na kuthamini kazi za fasihi, Fid angekuwa ana rot in jail this time cause wahusika lazima wange msue na kwa kiwango cha idadi ya mistari aliyo iba kwa waandishi wengine sidhani kama angeweza kuwalipa, mwisho wa siku angeishia kuwa civil prisoner.
Katika ulimwengu wa kiroho anacho kifanya fid q ni kutembelea nyota za watu.
Kwa sababu nyota ya MTU INA include akili yake pia.
MTU amebuni wazo lake Wewe umelichukua na kulifanya wazo lako na ukapewa sifa na watu wengine wakiamini kwamba Wewe ndio uliw toa wazo hilo. Hapo maana yake ni kwamba unakuwa unatembelea nyota ya Huyo ambae umeiba wazo lake.
USHAURI WANGU KWA FID Q
Its high time now uanze kutumia mawazo yako Wewe mwenyewe ili tuweze kukutofautisha na kukushindanisha na artist wengine ambao wanafanya muziki kama Wewe.
Siwezi kukushindanisha na MTU kama Joh Makini au Nilki Mbishi kwa sababu wenzako wapo real na Wewe unatumia mawazo ya watu wengine . Yaani ntakuwa nawashindanisha na hao watu ambao una wa copy something which is not fair.
JUST BE REAL LIKE OTHER HIP HOP ARTISTS :
Mfano Babuu kwenye ngoma yake Kimbia kuna sehemu anasema
" POLISI NI MSHKAJI UKIWA NAE KITAANI, UKIFIKA KITUONI ANAKUACHA KAMA HAKUONI" Huu ni mstari ambao unarelate na uhalisia, ni filosofi na ufundisha. Hata mtoto atakae zaliiwa mwaka 2050 akiusikia huo mstari atauelewa na utamuhusu.
Anaweza kuwa ameimba kitu cha kawaida sana ( kwa viwango vyako ) lakini ni wazo lake mwenyewe.
Hujawahi kumsikia Chindo Man kwenye wimbo wa JCB feat Arusha All Stars akisema " TORATI YA STREET INASEMA USIWE FALA" Kwanini na Wewe usianze kuandika track zinazo tokana na utunzi wako mwenyewe?
Matter fact hiyo line ya Chindo hata Wewe inakuhusu kwa sababu kilichosemw na Babu Tale na Fella juzi kama ni kweli basi Wewe ni fala kweli coz kutokuwa na hela ni ufala kama alivyosema Mzee Upako.
Leave Mzee wa Upako aside Mzee upo kwenye game kwa miaka kumi na tano and huna hata gari na unalelewa? Kama ni kweli bro ufanyie kazi huo mstari wa Chindo
Mifano IPO mingi sana. Badilika and be real.
WATZ SIKU HIZI WAMEANZA KUSOMA VITABU..DONT THINK THEY DONT UNDERSTAND
Misemo ni jambo la kawaida ebu leta mfano mwingine wa copy zake kama mbili.Umewahi kusikia wapi hiyo quote?
Unadhani basi hajui anajua sana watu wanaomsema Fid Q sijui uwa ana copy sijui nini uwa hawana hoja za msingi ni chuki tu.Umekosea kumshutuma fid hivyo,watu ambao tumetoa mziki huu kwao bs ndo mabingwa wa plagiarism.
Rejea nyimbo ya dmx,slipping,anaanza na intro anasema "to live is to suffer but to survive is to find meaning in the suffering" msemo huo sio wake bali wa mtu anaitwa Friedrich nietzsche
Huo ni mfano tu lkn ni kawaida ya rappers kufind inspiration kwny vitabu au misemo na sio plagiarism.
Unadhani basi hajui anajua sana watu wanaomsema Fid Q sijui uwa ana copy sijui nini uwa hawana hoja za msingi ni chuki tu.
Awali ulisema kuwa Fid-Q anakopi 'aidia' kutoka katika misemo (quotes) na sasa unasema anakopi nyimbo za watu wengine. Uone aibu, hujui hata unachosisitiza.Huu Uzi ni mkubwa kuliko ufahamu wako asol. am talking about kucopy mashairi ya MTU,kuyatafsiri na kuya present kama utunzi wako.Sizungumzik kuhusu kukarabati wimbo au kufanya sampling
MakuziAwali ulisema kuwa Fid-Q anakopi 'aidia' kutoka katika misemo (quotes) na sasa unasema anakopi nyimbo za watu wengine. Uone aibu, hujui hata unachosisitiza.
Kadhalika, umetoa mfano mmoja tu wa 'quote' ambayo Fid-Q alikopi na kuweka katika mashairi ya muziki wake, na ninavyofahamu Fid-Q ana nyimbo nyingi sana.
Hebu tuambie, ikiwezekana kwa orodha na mifano hai, kuhusu nyimbo zote za Fid-Q unazodai aliiba 'aidia.'
He is just a Copy Cat watu wa Hip Hop watanielewa namaanisha nini. Sina haja ya kuweka hapa kila kitu...huu mchezo wa kucopy mistari na concepts za nyimbo za nje hajaanza yeye hata wakongwe wamefanya hiyo kitu..Mfano Balozi Dola kwenye Ngoma yake moja anasema "Ma Mc wanakweenda Wanaruudi" Wengi walikuwepo Lakini mimi Nitabaki" hapa aliiga Mashairi ya wimbo Wa Freddie Fox a.k.a Bumpy Knuckles (Huyu sidhani kama unamfahamu) wimbo unaitwa Mc'z Go Mc'z Come.hebu tuwekee hayo mashairi aliyotafsiri,kwenye ngoma yake yoyote ile uijuayo..na isiwe msemo mmoja
Siyo kweli Mkuu.Anafanya makosa .huo ni wizi kama wizi mwingine. Atoe mawazo yake binafsi hayo ya kwenye vitabu awe anayazungumzia wakati wa interview au awe na yeye aandike vitabu then awe ana wa quote humo kwa sababu ni rahisi