Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Tunafaidika coz wameshusha bei 5000 tu. bado watu hawatajaa .Fiesta ikiwa hali mbaya wewe unafaidika nini?
Kuwa mkweli kijana mmepigwa kidude na wasafi festivalkila mtu anafanya kutokana na target yake, ndio maana hata mikoa mingine bei ilikuwa hivo, kumbuka pale kuna mzamini ambae pia huduma yake inatakiwa itumike, ambayo ni Tigo pesa, maamuzi hayafanywi na Clouds tu kumbuka mzamini ana ana masharti yake pia,
Kwan hao watu wakijaa na wewe unafaidika nnKutokujaaa watu wewe inafaidika nini?
Kama wanakata rohoYaani wanahaha!!
Hahahaaa dahHizi ni Tabia za WAHA ambao wameingia mjini siku za karibu tena kwa usafiri wa Treni.
Angelikuwa ni huyo basi bifu ya wasafi na clouds inatokea wapi... jaribuni kutumia logic ya kawaida sema labda ana share na yeye wasafi na hayo mengineyo ni uvumi tu uliovuma enzi za kumshindanisha aslay na diamondMwenye clouds ndio anaemiliki nusu ya wasafi, halafu wewe masikini unakuja kutupigia kelele
Wapi nimetaka watu wajae fiesta?Kwan hao watu wakijaa na wewe unafaidika nn
Ishu ya kutumia mziki wa ndani kwenye kilele cha fiesta hawajaanza mwaka huu, tangia mwaka Jana wana kampeni hiyo, wanajaribu kusema mziki wetu(bongo fleva ) no kubwa haihitaji MTU (msanii) wa nje ku busti mziki wetu.
Acha wivuMwenye clouds ndio anaemiliki nusu ya wasafi, halafu wewe masikini unakuja kutupigia kelele