Fiesta Ina hali mbaya

Fiesta Ina hali mbaya

kila mtu anafanya kutokana na target yake, ndio maana hata mikoa mingine bei ilikuwa hivo, kumbuka pale kuna mzamini ambae pia huduma yake inatakiwa itumike, ambayo ni Tigo pesa, maamuzi hayafanywi na Clouds tu kumbuka mzamini ana ana masharti yake pia,
Kuwa mkweli kijana mmepigwa kidude na wasafi festival
 
Mwenye clouds ndio anaemiliki nusu ya wasafi, halafu wewe masikini unakuja kutupigia kelele
Angelikuwa ni huyo basi bifu ya wasafi na clouds inatokea wapi... jaribuni kutumia logic ya kawaida sema labda ana share na yeye wasafi na hayo mengineyo ni uvumi tu uliovuma enzi za kumshindanisha aslay na diamond
 
Kwahiyo kuanzi mwaka jana ndo wamejua kuwa mziki wa bongofleva ni mkubwa watumie mziki wa ndani?
Ishu ya kutumia mziki wa ndani kwenye kilele cha fiesta hawajaanza mwaka huu, tangia mwaka Jana wana kampeni hiyo, wanajaribu kusema mziki wetu(bongo fleva ) no kubwa haihitaji MTU (msanii) wa nje ku busti mziki wetu.
 
Nedago,

Majority share holder ndio owner wa kampuni, there is nothing you can do without them approving, kwahiyo TECHNICALLY CLOUDS NA WASAFI MEDIA VYOTE SAUTI KUBWA INATOKA KWA BWANA JOSE AND COMPANY....
 
Kama ulikua hujui mke wa kusaga anamiliki 50% ya hisa za wasafi na huyo mond ana hisa 25% tu, kwahiyo unapaswa kujua clouds na wasafi ni watoto wa baba mmoja kabombe,
 
Back
Top Bottom