FIFA Confederations Cup 2009

FIFA Confederations Cup 2009

Leo nimekubali kweli kwenye soka lolote linawezekana!

Spain 'wamefulia' mbele ya USA? 15 matches bila kufungwa na wakiwa na rekodi mpya ya dunia invunjwa kwa kutandikwa 2 - 0? LoL 🙂
Kweli mkuu,ulisema,hawa jamaa wa US hawatabiriki,we fikiria walivyomchapa Egypt 3-0 kama kasimama vile,usije kushangaa wakachukua hata hii Confederations Cup
 
SA hawana huo ubavu kaka, brazil nao si wabaya kiasi hicho aulthough mprira unadunda
 
Hawana huo ubavu, mwisho wao wakushinda ni leo, labda brazil achemshe kesho kitu ambacho ni nadra kutokea
 
SA hawana huo ubavu kaka, brazil nao si wabaya kiasi hicho aulthough mprira unadunda
Kwenye Fabo lolote laweza toke mkuu,hivi ulitegemea US aweza kumchapa Spain 2-0 leo,so let's wait and see.Brazil wanafungika tu(hope uliangalia mechi ya Brazil Vs Egypt)
 
SA hawana huo ubavu kaka, brazil nao si wabaya kiasi hicho aulthough mprira unadunda

Hata Spain siyo wabaya na hawajacheza vibaya ila conclusion ndo inaleta maana: Mpira unadunda.
 
Kwenye Fabo lolote laweza toke mkuu,hivi ulitegemea US aweza kumchapa Spain 2-0 leo,so let's wait and see.Brazil wanafungika tu(hope uliangalia mechi ya Brazil Vs Egypt)

True that mkuu....... I love this game!!!!!
 
Nikweli kaka lakini brazil wamebadilika baada ya kucheza matope na waarabu , na wamejifunza kitu kutoka kwa wadogo zao
 
Haha I'm glad hawa spaniards wametolewa na rekodi yao mmx! Sauzi kumfunga Brazil, kwa mpira upi?
 
Haha I'm glad hawa spaniards wametolewa na rekodi yao mmx! Sauzi kumfunga Brazil, kwa mpira upi?
Kwani US kamfunga Spain kwa mpira upi mkuu,si ule uliochezwa leo.Football ni game of chance bwana,anything can happen
 
Nimefurahi kidogo Spain kupewa reality check. Kushinda sana inaboa..lol
 
Kwani US kamfunga Spain kwa mpira upi mkuu,si ule uliochezwa leo.Football ni game of chance bwana,anything can happen

Babu, tuwe wakweli unaweza kulinganisha level ya mpira ya south na USA? Wabakie kwenye rugby na cricket tuu.
 
mpira kweli unadunda.nashukuru nilinyamza kimya safari hii sema nilijua wamarekani watapigwa 6 moyoni lakini sasa hivi naamini kitu chochote kinaweza kutokea kwenye kandanda.
 
mpira kweli unadunda.nashukuru nilinyamza kimya safari hii sema nilijua wamarekani watapigwa 6 moyoni lakini sasa hivi naamini kitu chochote kinaweza kutokea kwenye kandanda.

Badili jina, huwezi kujiita Wenger wakati huamini kwamba mpira unadunda (kidding). Nimejifunza jambo moja kubwa sana, USA walitumia SWOT analysis kushinda ile game, walijua wazi kwamba strength yao ipo kwenye team cohesion, commitment na discipline (sio ile ya Maximo), waliona kwamba wao as individual they can't match with the Spanish interms of brilliance, so team work was their key weapon, threat kubwa kwao ilikuwa ni kuwaacha waspanish waposses mpira kwa muda mrefu na hilo walilijua kwa hiyo walikaba na kuziba nafasi sana, kingine nilichijifunza ni jinsi gani waliweza kuzuia penetration pass za Xavi ambazo ndio chano kikubwa cha ushindi wa Spain as a national team na pia Barca.
 
Ila wakuu naona kabisa Spain hawajaamini kabisa kilichotokea jana.......Obama boys jana walinifurahisha sana......!
 
Kweli ilikuwa ni chance tu, sio kwamba USA walicheza game ya kusifika sana mpaka tuipigie story vijiweni, story ni za mabao yaliyofungwa tu.. Spain bado wapo juu kwa soka, basi tu technical errors...
 
Kweli ilikuwa ni chance tu, sio kwamba USA walicheza game ya kusifika sana mpaka tuipigie story vijiweni, story ni za mabao yaliyofungwa tu.. Spain bado wapo juu kwa soka, basi tu technical errors...

Wenzio hupenda kusema 'chenga tuliwala lakini magoli walitufunga'....
hata kipofu huzalisha.
 
Back
Top Bottom