Invisible
JF Admin
- Feb 26, 2006
- 16,286
- 8,380
Anything is possible...arrrg nataka SA washinde kesho.......
Yes we Can!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anything is possible...arrrg nataka SA washinde kesho.......
Kweli mkuu,ulisema,hawa jamaa wa US hawatabiriki,we fikiria walivyomchapa Egypt 3-0 kama kasimama vile,usije kushangaa wakachukua hata hii Confederations CupLeo nimekubali kweli kwenye soka lolote linawezekana!
Spain 'wamefulia' mbele ya USA? 15 matches bila kufungwa na wakiwa na rekodi mpya ya dunia invunjwa kwa kutandikwa 2 - 0? LoL 🙂
Kwenye Fabo lolote laweza toke mkuu,hivi ulitegemea US aweza kumchapa Spain 2-0 leo,so let's wait and see.Brazil wanafungika tu(hope uliangalia mechi ya Brazil Vs Egypt)SA hawana huo ubavu kaka, brazil nao si wabaya kiasi hicho aulthough mprira unadunda
Haya na tusubiri tuone mkuu,maana Mpira ni dakika 90Hawana huo ubavu, mwisho wao wakushinda ni leo, labda brazil achemshe kesho kitu ambacho ni nadra kutokea
SA hawana huo ubavu kaka, brazil nao si wabaya kiasi hicho aulthough mprira unadunda
Kwenye Fabo lolote laweza toke mkuu,hivi ulitegemea US aweza kumchapa Spain 2-0 leo,so let's wait and see.Brazil wanafungika tu(hope uliangalia mechi ya Brazil Vs Egypt)
Hii pointi mkuu,habari ndo hiyoHata Spain siyo wabaya na hawajacheza vibaya ila conclusion ndo inaleta maana: Mpira unadunda.
Haya na tusubiri hizo dakika 90 za Brazil Vs Bafana BafanaNikweli kaka lakini brazil wamebadilika baada ya kucheza matope na waarabu , na wamejifunza kitu kutoka kwa wadogo zao
Kwani US kamfunga Spain kwa mpira upi mkuu,si ule uliochezwa leo.Football ni game of chance bwana,anything can happenHaha I'm glad hawa spaniards wametolewa na rekodi yao mmx! Sauzi kumfunga Brazil, kwa mpira upi?
Kwani US kamfunga Spain kwa mpira upi mkuu,si ule uliochezwa leo.Football ni game of chance bwana,anything can happen
mpira kweli unadunda.nashukuru nilinyamza kimya safari hii sema nilijua wamarekani watapigwa 6 moyoni lakini sasa hivi naamini kitu chochote kinaweza kutokea kwenye kandanda.
Kweli ilikuwa ni chance tu, sio kwamba USA walicheza game ya kusifika sana mpaka tuipigie story vijiweni, story ni za mabao yaliyofungwa tu.. Spain bado wapo juu kwa soka, basi tu technical errors...