FIFA inatakiwa kuwaondoa Senegal World Cup kwa mchezo mchafu dhidi ya Egypt

Hakuna watu wenye michezo michafu katika soka kama hao waarabu.
 
Misri atafika mbali usiendelee kuteseka sasa

Mimi ni big fan wa Algeria and Morocco, japo nimeumia sana kutolewa kwa Algeria.....Algeria anafanya vizuri w/c, huyo Cameroon sina imani nae kamanda, yani hata 16 bora hawaingii, mark my words!
 
Mimi ni big fan wa Algeria and Morocco, japo nimeumia sana kutolewa kwa Algeria.....Algeria anafanya vizuri w/c, huyo Cameroon sina imani nae kamanda, yani hata 16 bora hawaingii, mark my words!
Yaani kufuzu tu mtihani ndiyo akafanye vizuri mbele ya wababe wa ulaya kweli?
 
Kama umeshaona movie Django: unchained huyu mtoa mada ndio yule mzee black snitch flani hivi
 
Wenzako washapangiwa kundi A, wewe endelea kulalama.
 
Unapata wapi nguvu za kuwalilia waarabu dhidi ya watu!
 
Waarab wakifanya haya kwa waafrika waafrika mnashangilia ila wakifanyiwa waarab mnakasirika, hivi waafrika mna akili gani nyie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…